mmhhh imesajiriwa kweli hyo? Hawa jamaa wameona kuna wanafunzi zaidi ya 10,000 wamekosa mkopo so hao wakiapply kwa 20,000/= unapata kama mil200 ambayo ni hela nyingi sana!! Huo ni wizi.
Sasa wewe unawasaidiaje hao waliokosa mkopo? Wenzako wamekuja na njia ambayo angalau kwa hiyo wataweza kusaidia, wewe twambie msaada wako. Cha muhimu hapa ni kujiridhisha kama hawa jamaa ni legal entity na kutafuta ushauri wa kisheria, kama mambo ni safi chukueni mkopo vijana mkasome maana huko tuendako bila kuwa na elimu ya kutosha, hali itakuwa tete sana.Mmhhh imesajiriwa kweli hyo? Hawa jamaa wameona kuna wanafunzi zaidi ya 10,000 wamekosa mkopo so hao wakiapply kwa 20,000/= unapata kama mil200 ambayo ni hela nyingi sana!! Huo ni wizi.
Ni muhimu kufikiria solutions za matatizo siyo kukalia critisims tu, ili twende mbele. Tuombe serikali yetu watusaidie kupata uhalali wao na si kusubiri watu wanatapeliwa ndo wanakuja na umuzimu kama walivyofanya mambo ya DECI.
Mzeiya hyo ki2 ni private au ni ya gvt, na kama vp 2pia link yao humu 2waone
HLSSF is registered as an NGO on October 30, 2008 under the NGOs Act No.24/2002 as per section 12(2) with the registration number 00NGO/00002621
vision yao hii hapa
To be the most credible and leading NGO in promoting and supporting higher education in Tanzania
Owners
HLSSF is founded by two members and it is under the ownership of its initial members and their successors. Probably let me use this opportunity to specially ask you to think about joining HLSSF.
Sponsors pameandikwa hivi
Cellular companies( e.g. tiGO, Vodacom, Zain, Zantel).
Mining companies( e.g. Barrick, Williamson, Anglo shiraz).
Soft drinks, beverages and alcoholic manufacturing companies (e.g. TBL, Coca cola, Pepsi, Kibo breweries, ).