Hki ni kipindi kigumu sana: tukumbuke silaha zote pamoja na maombi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hki ni kipindi kigumu sana: tukumbuke silaha zote pamoja na maombi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Dark City, Sep 23, 2010.

 1. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Nimeupenda sana huo wimbo. Bwana awakumbuke wote ila hapo inapotajwa serikali basi naomba isomeke kwamba wanaoombewa ni serikali ya wapambanaji itakayoingia Mjengoni Oct 31.

  Mnaweza pia kuziba masikio Bwana 6 akianza kuomba.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. V

  Vaticano Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kura zinapatikana kanisani, mwambie Silaa asihangaike kuwakusanya walevi wa mbege Moshi.:becky:
   
 3. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mhadhama Vatican, aliyeanzisha hoja ya rushwa ya 'vitochi' si anajulikana?
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kumbe hazipatikani kwa maombi?

  Na kwa Shekh Yahaya Hussein je? Au majini tu ndo yanafanyakasi?
   
Loading...