Mwanamke hupendeza anapovaa skirt au gauni na sio suruali bullshit yaani wanawake wa leo mngejua sie wanaume tunavyowadharau mnapovaa suruali...
Mwanamke hupendeza anapovaa skirt au gauni na sio suruali bullshit yaani wanawake wa leo mngejua sie wanaume tunavyowadharau mnapovaa suruali...
shaaaaaaaaaabash! hivi lengo la kuweka hizo bakoli mbili za duara hapo nyuma ni nini? aaaaaaaaaargh kila kukicha watu wanabuni mbinu za kutega wenzao tu...:doh::rain::rain:![]()
zilizo dukani ni hizo jeans au hizo totoz zilizo zivaa? maana nipo tayari kuuza kiwanja cha bunju ili mradi ninunue huyo mwenye tatoo.
Firstlady, umemtoa wapi kapendeza, hivi hiyo tatoo inayochomoza maana yake nini???