Hizi wishes ni mimi tu au?

Hizi wishes ni mimi tu au?

Wananzengo habari zenu kwa ujumla.

Jamani sijui ni mimi tu au kuna wenzangu wenye wishes kama zangu kwenye sex fantansy? Unajua kuna vitu vingi huwa tuna-wish kwenye suala zima la kufanya mapenzi na kuvumbua vitu tofauti ili ku-enjoy mchakato mzima wa ku-enjoy ile privacy.

Binafsi huwa natamani kuwa chumbani na patner wangu tuna glasses of wine, yeye akae kwenye kochi awe kama anawatch Live Show nimuonyeshe vile mwili wa mwanamke unapaswa kuandaliwa, maana wanaume zetu nyie ni wagumu kuelewaaaaa.

Wewe unawish nini?
Joanah wengi Ni malaya
 
Wishes zangu za sasa hivi: Nipate rafiki ambaye tutajaliana, siye anayetaka umjali yeye tu!! I want a two way traffic!!
 
Binafsi huwa natamani kuwa chumbani na patner wangu tuna glasses of wine, yeye akae kwenye kochi awe kama anawatch Live Show nimuonyeshe vile mwili wa mwanamke unapaswa kuandaliwa,
Siku uliwaza hivyo nadhani ulikuwa kwenye ovulation!! (yaani siku yai linaanguliwa kwenye overies). Ni asili ambayo ipo kwa kila mwanamke, na akikutana tu na mwanamume katika hali hiyo bila kinga, kuna uwezekano wa asilimia 99% ya kupata mimba kama mambo mengine yote yako sawa! Siku mwanamke akiwa kwenye ovulation hayo mawazo ya kuwa na partner wake lazima yamtese!! Sema yeye yalipompata akamua kuyafungulia uzi!!
 
Wananzengo habari zenu kwa ujumla.

Jamani sijui ni mimi tu au kuna wenzangu wenye wishes kama zangu kwenye sex fantansy? Unajua kuna vitu vingi huwa tuna-wish kwenye suala zima la kufanya mapenzi na kuvumbua vitu tofauti ili ku-enjoy mchakato mzima wa ku-enjoy ile privacy.

Binafsi huwa natamani kuwa chumbani na patner wangu tuna glasses of wine, yeye akae kwenye kochi awe kama anawatch Live Show nimuonyeshe vile mwili wa mwanamke unapaswa kuandaliwa, maana wanaume zetu nyie ni wagumu kuelewaaaaa.

Wewe unawish nini?
🤣🤣🤣🤣Tuanzie apo kwaiyo ww hua unajiandaa partner wako anakuja kuweka tu au wishes ya aina gani iyo apo kama vita tu😎
 
Wishes zangu ni kuwa na ghorofa at the sea side na bedroom yangu inaface beach Jioni nikae na herbal tea nikiangalia maji kupwa na kupwawa

1691251249035.gif
 
Hamjamuelewa mtoa mada.Hapa anamaanisha kwamba anapenda kutiwa na mwanaume mwingine huku mume wake akiwa anashuhudia.Wazungu wanaita Cuckholding.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom