Hivi hii iko huku mikoani au hata huku Daslam iko?????
Wana Chitchat mupooooooo!!!!""
Kumezuka tabia moja ambayo mie sijaielewa elewa.. Unakuta wanafunzi hasa wa shule za msingi kuzunguka mjini / mtaani na fomu ya kuchangisha michango kama ya mahafali ya shule, mahafali ya dini, utalii n.k.
Wanafunzi hao ukiwatizama hata viatu hawana vya kueleweka wala sare....
Hivi hii iko huku mikoani au hata huku Daslam iko?????
Je imekaaje hii???!!