Hizi tabia za wanafunzi

Hizi tabia za wanafunzi

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Wana Chitchat mpoo?

Kumezuka tabia moja ambayo mie sijaielewa elewa. Unakuta wanafunzi hasa wa shule za msingi kuzunguka mjini/mtaani na fomu ya kuchangisha michango kama ya mahafali ya shule, mahafali ya dini, utalii n.k.

Wanafunzi hao ukiwatizama hata viatu hawana vya kueleweka wala sare. Hivi hii iko huku mikoani au hata huku Dar es salaam iko?

Je imekaaje hii?
 
Huku kwetu ukiona tu mtu anachangisha hela ujue ni 'chuma ulete'...
 
Wapoo...hahahaha,naona ndo miezi yenyewe hii
 
inawezekana we unaona hapo arusha ndiyo kila mahali..

btw! huku kwetu Likolombe sijakutana na hiyo kitu.

tunasemea mjini bana
huko likolombe c kijijini?
hawafiki,ila miji yote niliyokwisha tembea
nimekutana na watu wa hivyo!!
 
my cousin mm sijawahi kutana nao ila mm nakumbuka nilivyokuwa primary
baba watu8 alikuwa anainipa sh5 ila ilikuwa haitoshi ndo mana nikabuni
na kuchapisha fomu na kuitembeza tembeza Atown kote na nilipata pesa
Wana Chitchat mupooooooo!!!!""

Kumezuka tabia moja ambayo mie sijaielewa elewa.. Unakuta wanafunzi hasa wa shule za msingi kuzunguka mjini / mtaani na fomu ya kuchangisha michango kama ya mahafali ya shule, mahafali ya dini, utalii n.k.

Wanafunzi hao ukiwatizama hata viatu hawana vya kueleweka wala sare....

Hivi hii iko huku mikoani au hata huku Daslam iko?????

Je imekaaje hii???!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom