WEWE unayejiita Notradamme au sijui Madamme naona kama unawashwa? CCM hailinganishwi na KANU au ZAPU kwa jinsi yoyote ile, na hivi vyama nilivyotaja vilikuwa ni nuksi. Walikuwa na mashushushu mpaka watoto wa chekechea, ilikuwa hata ukikohoa taarifa zako za kikohoo hicho utazikuta ikulu kwa baba Moi au Mugabe!!! Leo hii things are not the same anymore sembuse bongo hapa? Ubabe na uimara katika kukomesha aina yoyote ya mawazo mbadala vilitumika kudidimiza upinzani na kila mtu ni shahidi leo KANU imekufa kifo cha mende na ZAPU iko taabani MDC wanaisikilizia mapigo yake ya moyo!!! CCM hawana ujanja wowote na time will tell, muwe makini tu maana tutawasaka mtupe majibu ya unafiki wenu siku ikifika!! Nyabe nyie!!!