Hizi Radio ni za CCM?

Hizi Radio ni za CCM?

Majanga90

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
77
Reaction score
12
Baada ya Ukawa kutoka bungeni jana leo ndio nimejua matawi ya Radio Uhuru. Nikianza na Clouda fm,RFA, yaani wamekuwa mawakala wa kuisemea CCM Leo.
 
Lawama zikufikie kwa kusikiliza hizo radio
 
Naomba kujuzwa kama bunge maalum la katiba leo tarehe 17/4 linaendelea baada ya wana UWAKA Kujitoa?
 
Ccm wameteka vituo vingi vya habari. Vyombo vingi vya habari hupewa mamilioni ili vyombo hivo viipendelee ccm!
 
Jinsi wanavyorusha mikutano ya Kinana, utajua tu kwamba mamilioni yametembea, mfano hoja ya nape kuhusu Lisu na baba wa taifa. Wengine wanarusha ccm tupu kwenye zaidi ya habari. Lakini ninaimani, kuna siku, yote haya yatakuwa HISTORIA!
 
Jinsi wanavyorusha mikutano ya Kinana, utajua tu kwamba mamilioni yametembea, mfano hoja ya nape kuhusu Lisu na baba wa taifa. Wengine wanarusha ccm tupu kwenye zaidi ya habari. Lakini ninaimani, kuna siku, yote haya yatakuwa HISTORIA!

Leo nlikuwa naangalia 360 asubuhi yaani hata watu wanaowahoji ni ma CCM tu yaani kweli hawa wajamaa wasifikiri wataishi milele
 
Tatizo in kwamba.......
Kokote kunakogusa wananchi utawakuta CCM na bado mnaamini kwa dhati kwamba ninyi UKAWA eti mnaungwa mkono na wananchi!!!!!!
SHAME.
mmekimbia vita baada ya kila hoja yenu kuonekana ni UPUUZI. Unafiki una mwisho mbaya na mwisho wenu umewadia
 
Mm ni mkristo nashindwa kuelewa hua wanapewa nini awa wachungaji
Mnamuelewa uyu Mtetemela? Naona amekua msemaji wa serikali sasa
 
Anajiosha tu huyo hana lolote anajipendekeza kwa ccm kama wanaweza kumfikiria kwa lolote,njaa hizi mbaya sana,, na ccm wamemtumia makusudi kwa kigezo cha uchungaji.
 
Back
Top Bottom