20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,147
- 7,128
Habari za wasaa.
Wakuu mbali mbali.
Bila kupoteza muda niende kwenye mada au swali husika
Nimekuw nikosma ama kusikia kuhusu mambo yanayoweza kutokea endapo utatumia vitu fulani ili kuweza kupata matokeo yale yaliyo lengwa.
Kisayansi inaweza onekana kwa kuwa mwili au ngozi huyu imekosa madini na ambayo kwa wingi sana huptikana katika mmea fulani hivyo muhsika anashauriwa au kupewa mmea huo kama tiba.
Tukija upande wa pili, utakuta mtu anahitaji jambo labda la kimapenzi apendwe na mtu fulani, atambiwa labda akachukue mziz wa mhina achanganye na vitu flani then atashika moyo wa mhusika
Mwingine labda anatka kuroga mwingine anaambiwa alete mti fulani dawa ikamilike, hii imeenda hadi unaambiwa ukitaka kuona visivyo onekana labda paka dawa fulani then chuma fimbo ya mbaazi then tembea nayo
Kuna vitu sana ambavyo huleta matokeo fulani ya kimwili na kiroho kama ikitumika kwa mtiririko sahihi.
Swali hizi power za kuweza kushika either moyo wa mtu akupende, kukupa ulinzi au kukufungua macho ya roho zimekujaje katika hivi vitu? Hizi power zimetokea wapi? Kwanin isiwe kwa vitu vingine?
Wajuzi hebu tujuzane