FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,881
- 109,188
Ndio maana wengine hatusalimiani kwa mikono, Asalaam Aleykum, Waaleykum Salaam tosha. Ndio nini kushikana mikono, wengine utawakuta wanachokonowa pua zao (Pinda), wengine wanabanja halafu wanaweka mkono kuzuia chembe chembe zisiruke, wengine wana ukurutu wa kudumu na hawaishi kujikuna makalio. Inakhusu nini kuambukizana maukurutu? Nashkuru Uislaam umenipa "ruksa" ya kusalimiana kwa salaam na ishara tu, si lazima kushikana mikono.