Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Acha tu nadhani wakitamani wajifiche chini ya mto...
hahahahahaha
Acha tu nadhani wakitamani wajifiche chini ya mto...
tatizokitendo cha kuhama gesti tu, mood inavurugika.Mi ningekubali bana nisingetaka kuondolewa mood wakati nshajikoki....
"Mwanangu" ,Nakusikitikia, umebalee kipindi kibaya sana,ukicheza, "UTAKUFA" .By. Baba yangu Mzazi,
tatizokitendo cha kuhama gesti tu, mood inavurugika.
Unavunga tu unahama, kama vile namuona benteke ndani ya boxa afu anakomaa na kochi....
inawezekana alikuwa hajavaa hata boksa
Yaani nimetoa twenty thousand na meneja hakunieleza kama ukiingia asubuhi mwisho saa sita.
Mara mlango unagongwa, nikashtuka nikajua watu wa shigongo nini? mara ya pili uligongwa kwa nguvu zaidi, "fungua" mda umeisha,.
Aya! nikafungua kidogo huku nachungulia, meneja anarudia kwa hasira "kaka mda umeisha" nikamwambia mbona hukuniambia mkuu, basi ntakuongeza pesa, aaah wapi, meneja kakomalia anasema tuondoke maana tayari vyumba vyote vimesha chukuliwa kuanzia saa sita.
Nikasema liwalo na liwe,mshara wenyewe ndio mpaka tarehe 31,ntapata wapi tena pesa ingine, maana hata raisi alisema tuchezee mishara sio kazi.
Nikarudi zangu ndani, nikafunga makomeo yote ya juu na ya chini, nikaongezea na kochi juu.
Walipiga kelele zote, wakanikatia umeme, yaani nimetoka leo asubui.
Na raha nimekula usiku kucha.
Ila njaa ndio ingetuua aisee.
Hatukula toka jana asubuhi.
Ndio mchezo pekee tunaouweza Tanzania,"Ngono",very proffessional!!
Hapana hny. Ni mwanafunzi wangu nilikua namfundisha twisheni.