Hizi Nyumba nyingine za wageni bana....

Hizi Nyumba nyingine za wageni bana....

THE POWER of PAPUCHI

Nilimkuta mzee mmoja kwenye packing ya magari sisiem amejikunja kwenye vitz. Wakati napaki gari, nilipaki pembeni yake, na nilivyowaona nikadhani ni begi ndani ya gari. Nikamfata milinzi nikamwambia aisee babu kuwa muangalifu naona mzee K amesahau begi kwenye gari wasijemliza. Mlizi akacheka akaning'ata sikio akasema "we acha tu hata mimi mara ya kwanza ilinipa shida sana, ni yeye yule yuko na mwanamke". Papuchi ni noma. Huyo mzee K anakitambi ni mkubwa balaa.
 
Milenia na mimi wapi na wapi ndugu. hayo kawaambie kina Pinda na JK ndio mtaongea lugha moja. Mimi sijui milenia wala nini. Kazi yenyewe nafanya kwa mhindi.

Ukiweza waibie halafu usepe, hakudaki mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom