Hizi nyimbo zimeimbwa na nani?

Hizi nyimbo zimeimbwa na nani?

Wimana

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
2,449
Reaction score
718
Mimi sio mfuatiliaji sana wa miziki ya kileo, lakini kuna nyimbo mbili zimetokea kunigusa sana ktk maudhui, uimbaji, na upigaji wa vyombo. Nyimbo hizo mbili ukizisikiliza utajua kuwa mtunzi na mwimbaji ni mmoja, nazo ni Isabela [Usilie], na Nani kama mama.

Wadau naomba mnibandike hizo nyimbo hapa, pia mniambie jina la mtunzi na hiyo bendi inaitwaje.

Balantanda na wadau wengine msaada pls.
 
Ngoja kwanza nimuulize mwanangu huenda atakuwa anaujuwa huo wimbo baadaye nitarudi kukujibu.
 
Back
Top Bottom