Hizi ni sifa zangu, natafuta Kazi

restore 1985

Member
Dec 1, 2017
93
150
Wadau natafuta kazi jamani
Sifa nilizonazo ni hizi
1. Nna first degree ya political science and public administration
2. Nna uzoefu wa kufanya kazi kama records officer kwa miaka 2 nilikuwa shule moja hapa dsm iko boko
3. Nmefanya kazi kama adminstration officer kwenye kampuni la kukodisha magari jijini dsm
4. Nna uwezo wa kutumia excel kama kutengeneza petty cash, kuweka records za mikopo ambapo excel nnayotengeneza inaweza kupunguza deni la mdaiwa kila anapolipa automatic
5. Ms.word na power point pia naziweza vyema kwa ujumla kutumia pc kwa shughuri za kiofisi na kuitawala office naweza vyema bila kusukumwa
6. Naweza kufundisha maana pale shulen nlipokuwa nafundsha nilikuwa pia nafundsha masomo ya geography, english, history na civics

Nipo Dar es salaam, naweza fanya kazi mahali popote pale ili mradi tukubaliane tu hata mkoani naenda sihitaji kusimamiwa wala kufundishwa kazi.

Mawasiliano 0759 890 889.
 

kinundu

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
2,020
2,000
Kazi umepata mkuuu.....subiri wanakuja ma sponsors na madalali
 

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,600
2,000
Kazi hupati, baba yangu alikuwa anawaita watu kama nyie "malango kushule" akimaanisha AKILI SHULENI TU ila akili za kibinadamu na kuweza kuyamaster mazingira ZERO.
Head yako tu inaonyesha wewe ni much know kiasi kwamba ukisaidiwa kupata kazi hata salamu kumpa aliyekusaidia hatapata.
 

restore 1985

Member
Dec 1, 2017
93
150
Kazi hupati, baba yangu alikuwa anawaita watu kama nyie "malango kushule" akimaanisha AKILI SHULENI TU ila akili za kibinadamu na kuweza kuyamaster mazingira ZERO.
Head yako tu inaonyesha wewe ni much know kiasi kwamba ukisaidiwa kupata kazi hata salamu kumpa aliyekusaidia hatapata.
Nashukuru.....bt ninayafuta hayo maneno uliyosema kwamba stapata kazi nayafuta na yakurudie ww mwenyewe na familia yako kwa Jina la Yesu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom