aisee kaka mungu akusamehe sana. hata km umeshapata kaz usidharau wengine' na kutoa maneno ya kejeli. huwez jua kesho utaishi wap, jifunze kua na akiba ya maneno. km ww kijana unakua na roho mbaya hivyo kimawazo tu, je angekuja kukuomba hela ya kula ungesemaje, ushauri wangu jaribu kutembelea watu weny shida km wagonjwa, masikini wanaoshindwa kupata hata mlo mmoja wakupe historia ya maisha yao walao moyo ya ubinadam utakuingia... isee ww hata ukiwa baba wa familia huwezi acha maneno ya dharauKazi hupati, baba yangu alikuwa anawaita watu kama nyie "malango kushule" akimaanisha AKILI SHULENI TU ila akili za kibinadamu na kuweza kuyamaster mazingira ZERO.
Head yako tu inaonyesha wewe ni much know kiasi kwamba ukisaidiwa kupata kazi hata salamu kumpa aliyekusaidia hatapata.