Hizi ni sifa zangu, natafuta Kazi

Kazi hupati, baba yangu alikuwa anawaita watu kama nyie "malango kushule" akimaanisha AKILI SHULENI TU ila akili za kibinadamu na kuweza kuyamaster mazingira ZERO.
Head yako tu inaonyesha wewe ni much know kiasi kwamba ukisaidiwa kupata kazi hata salamu kumpa aliyekusaidia hatapata.
Nashukuru.....bt ninayafuta hayo maneno uliyosema kwamba stapata kazi nayafuta na yakurudie ww mwenyewe na familia yako kwa Jina la Yesu
 
Endelea tupambana na hali yako.. Sisi wengine tuna CV kubwa mpaka zinamwagika ila ajira hakuna.. Fungua kituo cha tuishieni upige hela.. Ushauri wa bure
Huyo ni ww not me kuna watu wanahitimu leo next month wanaomba kazi na wanapata na wakati huohuo watu wengne wny experience wamejaa mtaani au hujui basi tambua kila mtu Mungu alimpa ridhiki yake..kamwe usjifananishe na hata na ndugu yako wa damu.
 
Kilichokufanya uache hizo kazi nn
Ya shuleni niliacha baada ya kuja mzungu mmoja shulen ambaye ndo alikuwa mmiliki wa kampuni ya magari alileta mtoto shule basi akaukubali uchapa kazi wangu pale ofisin the way nilivyokuwa nahudumia wazazi akanipa business card yake tuwasiliane basi akanipa kazi kwny kampun yake nikaacha shulen. Pale kwny kampun skuacha bali yule mzungu aliuza hisa za kampuni yake kwenye kampun la noble motors wale wahind wakaja na watu wao wakihindi basi nkalipwa stahiki zangu wakaniachisha.
 
Nashukuru.....bt ninayafuta hayo maneno uliyosema kwamba stapata kazi nayafuta na yakurudie ww mwenyewe na familia yako kwa Jina la Yesu
Mimi nimeshapata kazi na ni miaka miwili sasa tangu niajiriwe permanent na serikali hii.
Pia kumbuka kuwa jina la Yesu sio toy kwamba kila ukitaja linafunction, Mungu hutazama uhusiano wako na huyu Yesu tunayemtaja ndipo hutenda na si kupayuka tu.
Rejea kisa cha wana wa Sekewa jinsi walivyojeruhiwa na mapepo pamoja na kuliitia jina la Yesu.
Unaweza ukamlaani aliyebarikiwa na ukajikuta hali inazidi kuwa ngumu kwako.
Ok.
Have a good day my friend.
 
Mkuu ulivyomtukana jamaa nikajua utakuwa umejiajiri na kuajiri watu wasiopungua kumi kumbe na wewe umeajiriwa na hii serikali ya Magu ikifika tarehe 15 salary imekata.

Punguza mbwembwe braza.
 
Kazi hupati, baba yangu alikuwa anawaita watu kama nyie "malango kushule" akimaanisha AKILI SHULENI TU ila akili za kibinadamu na kuweza kuyamaster mazingira ZERO.
Head yako tu inaonyesha wewe ni much know kiasi kwamba ukisaidiwa kupata kazi hata salamu kumpa aliyekusaidia hatapata.
Qrely https://jamii.app/JFUserGuide u...shitttttt...aya matapish katapike kwa baba ako anayefikil kwa kutumia makalioo..takoo
 
Mkuu ulivyomtukana jamaa nikajua utakuwa umejiajiri na kuajiri watu wasiopungua kumi kumbe na wewe umeajiriwa na hii serikali ya Magu ikifika tarehe 15 salary imekata.

Punguza mbwembwe braza.
Mimi sijamtukana huyu ndugu, nilikuwa namfundisha ustaarabu tu. Huwezi kusema mnipe kazi.
Hili neno linatumiwa na vijana waliojilea tu.
Naipenda kazi yangu kwani inaniwezesha kukopa na kufanya mambo mengine kama ujenzi.
Na kupitia kazi yangu nimeweza kupata mtaji wa kuwekeza kwenye kilimo na duka la rejareja.
Sitaacha mpaka nitakapoamua.
Kuajiriwa si utumwa, hata waliojiajiri wengine wanafanya kazi masaa mengi sans while production ni ndogo sana.
 
Back
Top Bottom