CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
SOMA HIZO LINK HAPO CHINI
UKISHASOMA THEN RUDI HAPA KUOMBA MSAMAHA KWA KUMUITA MTU MUONGO WATAKI HUJUI KITU SAWA
Herb Magic Catalogue: Abrus Precatorius Seeds
Thousands of 'deadly' seed bracelets recalled after Eden Project gift shop reveals they are made from beans twice as fatal as RICIN | Daily Mail Online
Jequirity Bracelet Danger: British Woman Suffers From Hallucinations And Abscesses Caused By Toxins | The Huffington Post
Abrus precatorius, jequirity, rosary pea - The POISON GARDEN Website
Afu shost nakusubiri ujue... Hebu njoo chemba!Hata miye nasubiri kujua
Wasokile wanaziita NDIRORO
Zina umuhimu gani
we acha uongocharminglady
HIZO MBEGU ZINATUMIKA SANA NA KUTENGENEZA UREMBO WA SHANGA. ILA, NARUDIA ILA, HIZO MBEGU NI SUMU NA UKIZIONA WEKA MBALI SANA NA WATOTO NA ZINAWEZA KULETA MADHARA HATA KWA WATU WAZIMA PIA. NA SI MTI NI ILE MIMEA YA KAMBA KAMBA INAOTA KWA KASI SANA NA KUJAZANA SEHEMU MOJA KWA KUTAMBAA.
MAJANI YAKE YANAFANANA NA ILE MIMEA UKISHIKA MAJANI YAKE YANASINZIA HIVI. HIVYO USIJARIBU KUWEKA MDOMONI UTADHURIKA.
MizautuniHabari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?
Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.
Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea mahali fulani na mbegu zake hizo, nikagundua kumbe hizo ni mbegu za mme. Bahati mbaya bibi yangu kwa sasa ni marehemu.
Je hizo mbegu ni za mmea wa aina gani na kazi yake ni nini?
Ndiroro zinamaziwaHabari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?
Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.
Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea mahali fulani na mbegu zake hizo, nikagundua kumbe hizo ni mbegu za mme. Bahati mbaya bibi yangu kwa sasa ni marehemu.
Je hizo mbegu ni za mmea wa aina gani na kazi yake ni nini?
we acha uongo
Hovyo kabisa..muongo kama mwanasiasacharminglady
HIZO MBEGU ZINATUMIKA SANA NA KUTENGENEZA UREMBO WA SHANGA. ILA, NARUDIA ILA, HIZO MBEGU NI SUMU NA UKIZIONA WEKA MBALI SANA NA WATOTO NA ZINAWEZA KULETA MADHARA HATA KWA WATU WAZIMA PIA. NA SI MTI NI ILE MIMEA YA KAMBA KAMBA INAOTA KWA KASI SANA NA KUJAZANA SEHEMU MOJA KWA KUTAMBAA.
MAJANI YAKE YANAFANANA NA ILE MIMEA UKISHIKA MAJANI YAKE YANASINZIA HIVI. HIVYO USIJARIBU KUWEKA MDOMONI UTADHURIKA.
Za korodownHabari za mchana mabibi na mabwana jamvini hapa?
Hizi hapa chini ni mbegu za mmea gani na zina kazi gani? Nikiwa mdogo nilikuwa naziona kwa bibi yangu, na alikuwa anazitunza sana.
Sikuwahi kufikiria kuwa ni mbegu za mti, wala sikuwahi kumuuliza kazi yake. Sasa hivi karibuni nikauona huo mmea mahali fulani na mbegu zake hizo, nikagundua kumbe hizo ni mbegu za mme. Bahati mbaya bibi yangu kwa sasa ni marehemu.
Je hizo mbegu ni za mmea wa aina gani na kazi yake ni nini?
we acha uongo
sina muda wa kupoteza kusoma nina vitu vya kusoma hapa JFNGOJA NIKUTAFUTIE UTAFITI WA ULIOFANYIKA KUHUSU MBEGU HIZO