mm nna mtaji wa watu 26.na lengo langu nipate 45 watu wa ukweli na waaminifu. kati ya 26, 18 ni vijana wadogo ambao walienda kujiandikisha kwasababu ya kupata ID tu na sio kupiga kura, nmewashawishi kuhusu umuhimu wa kupiga kura. na wote wamekubali kuipigia ukawa kura. hawa wengine 8, walikuwa ccm na wengine waliwa hawamtaki lowassa kabisa. nimejaribu kuwaeleza bayana mapunguvufu na ubora wa lowassa, wameweza niliewa na wamekuwa na iman na Lowassa.