Hizi nguo za sikuhizi

Hizi nguo za sikuhizi

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,255
Yani binti anavaa skini tyt yenye rangi kama ya ngozi, yani kama yupi uchi vile. Si kupeana magenye tu
 

Attachments

  • 1433788297725.jpg
    1433788297725.jpg
    13.3 KB · Views: 3,316
Nawaonaga wanafanya jogging asubuhi asubuhi university rd, na wengine Mbezi Beach maeneo ya whitesands
 
Aisee dawa hakuna zaidi ya kukiangamiza hiki kizazi laanifu

Hapo ndo msala ulipo, maana adhabu itatufika wengi. Tena nasikia wale wazaman waliangamizwa kwa maji sisi moto utahusika
 
Hapo ndo msala ulipo, maana adhabu itatufika wengi. Tena nasikia wale wazaman waliangamizwa kwa maji sisi moto utahusika

Moto na mvua ya tindikali ila kuna wachache watasalimika mimi nikiwa mmojawapo
 
Back
Top Bottom