masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,800
- 16,826
Ndo huyo alimtaja mkuu hapo juaaa.....mdauu,😉
ndo nikashtuka
demu yule sio mchina ule kweli
Ndo huyo alimtaja mkuu hapo juaaa.....mdauu,😉
Moto na mvua ya tindikali ila kuna wachache watasalimika mimi nikiwa mmojawapo
Yani binti anavaa skini tyt yenye rangi kama ya ngozi, yani kama yupi uchi vile. Si kupeana magenye tu
Hapo ndo msala ulipo, maana adhabu itatufika wengi. Tena nasikia wale wazaman waliangamizwa kwa maji sisi moto utahusika
Moto na mvua ya tindikali ila kuna wachache watasalimika mimi nikiwa mmojawapo
Sio Chorokee da A$$ huyu