Hizi negative (-) ZA TCU zina maana gani

Hizi negative (-) ZA TCU zina maana gani

Tabalo

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
294
Reaction score
84
Habari zenu wakuu.
nimefungua profile yangu ya tcu kwa sisi tunaoomba kujiunga na vyuo vikuu,
nimekuta baadhi ya vyuo nilivyo chagua vimeandikwa -1 na vingine 0 sehemu ya remaining capacty.
naomba ufafanuzi kwa wanaofahamu...
tafadhalii wakuu
 
Kwani ilikuwa ni lazima uanzishe uzi mpya?Kuna nyuzi nyingi tu kuhusu application ungeweza kuuliza swali lako
 
nilihtji quick replay ndo maana nikaanzisha uzi...nisaidie kama unafahamu kaka kwani hata hzo nyuzi za nyuma hazijaongelea hili
 
hizo -ve uangalie inamaana ni kuzidi kwa watu katika cozi hiyo so kama -5 kumezidi watano but 0 inamaana kimejaa tu kawaida na ww upo so unaweza pata kutokana na ushindani
 
Wale wa 3rd round cas inafunguka? Mim nmejaribu naona haifunguki tusaidiane wadau
 
tangu jana usiku mpaka mudaa huu haifungukii
hawa tcu hawa
 
hata mm kwa idea yangu (-)inamaana wamezdi (0)kimesha jaa, lakini hai maanishi umekosa au umepata mpka taarfa ije kwa prfle yako kuwa upo selected au haupo
 
Back
Top Bottom