au kisa hela nini.huyo aliyemuoa ni don au kawaida?Hapana, dada yule alikuwa safi saana, japo moyo wangu ulikuwa haujamuangukia, ila nilikiri anastahili ndoa, anastahili kuwa mke wangu, nilijitahidi kumpa matunxo kadri ya uwezo wangu, ila nikaona mama yake hanikubali wala nini, nilienda kujitambulisha wakaniambia mahari milioni 3 hivi, nikalipa kiasi kidogo, ila niliposungusi vizuri nikaghairi, tayari nae bibie alikuwa kama anaanza kulewa maneno ya kwao nikavunga.
Mwaka jana mtoto nikaenda kumuomba mtoto kwa kisingizio cha kumsomesha mwenyewe, nimechukua goli langu nipo lao maskani.
Labda kama unajiuliza nikupe jibu, waliokua wakiongoza darasani hususani kwenye mitihani huwa na ndoto tofauti zinazowasumbua ukilinganisha na walio chini. Kwasasa "your concern should be that of yourself not others" maana nikikwambia wanachoota utashaanga zaidi na kuuliza kwanini.
Hapa lazima nifike

Most of bright students get this.....so worry out,as long as u have never been late to the examination arena.1. Naota ghafla naingia kwenye chumba cha mitihani ya mwisho alafu hakuna nilichosema
2. Siku nyingine naota nimechelewa kuingia chumba cha mtihani muda unaisha sijajaza answer sheet kabisa na nakuwa nahangaika kwelikweli
3. Mara naota kuna mtihani nafika shule nimechelewa nafika ubaoni kujua jina langu liko room gani inanichukua muda mrefu kugundua, ile nafika chumba cha mtihani zimebaki dk chache muda wa mtihani kuisha, najikuta naingiwa na stress kisha nashindwa kujibu swali hats moja kisha nashtuka ndotoni nikiwa tafrani
NOTE: Nimepita pita shule mpaka elimu ya chuo na huko kote nilikuwa napita bila shida yeyote, msaada wakuu maana nakosa amani kabisa na zimekuwa zikijirudia mara kwa mara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada chukua ushauri huu.utasoma comment tofauti ila haya ndio majibu sahihi ya swali lako.Ukiota shule zilizopita kama shule ya msingi au hata sekondari wakati wewe ulishamaliza na upo chuo kikuu au hata kikuu ulishamaliza siku nyingi ni ishara ya kurudiswa nyuma katika ulimwengu wa roho. Sasa hivi kuna mambo yanayoendelea kutaka kukurudisha nyuma. Kuna kazi za wachawi wakishirikana na roho chafu yaweza kuwa majini/mapepo n.k.
Unachopaswa kufanya ni kuishi maisha safi, acha madhambi yoyote. Pili fanya maombi kila siku kabla ya kulala na unapoamka. Usiache mwanya kwa ulimwengu wa giza kukurudisha nyuma eti kwasababu tu umeshindwa kusali kwa dakika 5 kila siku.
Unapoomba omba KWA JINA LA YESU siyo vinginevyo manake hutapata msaada wa kweli wa kuchinda nguvu za giza isipokuwa KWA JINA LA YESU KRISTO.
Hayo yote yalikuwa kwenye maisha yangu lakini siku hizi nipo kwenye full control na ninasambaratisha wachawi na mapepo vibaya sana KWA JINA LA YESU KRISTO. Hakuna dawa nyingine mtu asikudanganye hata kidogo.

hata mm nilikuwa naota niko shule mara nakula kababu shule wakati nilimalizaga la saba mda mrefu sana na sikuendeleaga tena na shule nikamuliza mzee mmoja akaniambia ndoto izo sio nzuri yani hayo maisha ulishayapita afu unayaota tena akasema kuwa makini sana..Mtoto unalea?😉Wala mzee, na sina habari nae kabisa kabisa. Yupo mkoa mwingine mie nipo mkoa mwingine.
Mtoto unalea?![]()
Hapo kwamba vipanga hawaoti ndoto hzo nakataa, I'm 1 of those vipangas from primary to university lkn those kind of fVckng dreams zinanisumbuaPole sana.
Ndoto mara nyingi hutumia ishara badala ya picha halisia ya mambo. Hivyo usichukulie unayoyaona ndotoni kama uhalisia bali ishara.
Ndoto za kurudi shule/mitihani zina maana moja kuu na zingine ndogo ndogo kulingana na "details" zilizopo kwenye ndoto yenyewe; wahusika pia mpangilio wa matukio.
HOFU
Shule na mitihani imechukua sehemu kubwa ya maisha ya wasomi. Wazee wa zamani walikua wakiota kuhusu kilimo na mifugo haswa haswa; mimea kuharibiwa au mavuno kiduchu pia waliota mifugo kufa ama kushambuliwa na wanyama wakali.
Ndoto za kurudi shule hususani kuingia katika chumba cha mitihani bila ukiwa umechelewa pia hujasoma hushabibia "self confidence" kushuka.
Akili huamua kutumia taswira ya shule na mitihani kwasababu ndio wakati pekee katika maisha yako ulipokuwa na hofu ya kushindwa na ndio sehemu pekee ya maisha unapokua "under pressure". Ukiwatafuta vipanga wa darasani walikua wanaongoza mitihani yote, hutokuta wanaota ndoto kama zako.
Sikudharau lakini kulingana na ndoto zako inaonyesha elimu yako ulipitia misukosuko mingi na ufaulu wako ulikua wa kati au chini ukilinganisha na matarajio yako pia "jinsi ujianavyo na kujitambua"
Hivyo ndoto zinaonyesha unapitia wakati mgumu unaokupa wasiwasi wa maisha na hofu kutokana na "mental pressures" za maisha. Na jinsi ya kuzishinda/kubadilisha ndoto hizo ni mtizamo wako wa maisha. Ongeza kujiamini, jichanganye na watu pia punguza mitazamo hasi ya maisha (kuwa optimistic) maana hizo ndoto zinasema wewe ni pessimist.
Labda kama unajiuliza nikupe jibu, waliokua wakiongoza darasani hususani kwenye mitihani huwa na ndoto tofauti zinazowasumbua ukilinganisha na walio chini. Kwasasa "your concern should be that of yourself not others" maana nikikwambia wanachoota utashaanga zaidi na kuuliza kwanini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeongea vizur sana ila natofautiana na ww hapo kwenye vipanga, ninachoweza kukuambia mm nilikuwa mojawapo ya vipanga hasa o level na advance level isipokuwa chuo nili drop kidgo japo nilimaliza salama.Pole sana.
Ndoto mara nyingi hutumia ishara badala ya picha halisia ya mambo. Hivyo usichukulie unayoyaona ndotoni kama uhalisia bali ishara.
Ndoto za kurudi shule/mitihani zina maana moja kuu na zingine ndogo ndogo kulingana na "details" zilizopo kwenye ndoto yenyewe; wahusika pia mpangilio wa matukio.
HOFU
Shule na mitihani imechukua sehemu kubwa ya maisha ya wasomi. Wazee wa zamani walikua wakiota kuhusu kilimo na mifugo haswa haswa; mimea kuharibiwa au mavuno kiduchu pia waliota mifugo kufa ama kushambuliwa na wanyama wakali.
Ndoto za kurudi shule hususani kuingia katika chumba cha mitihani bila ukiwa umechelewa pia hujasoma hushabibia "self confidence" kushuka.
Akili huamua kutumia taswira ya shule na mitihani kwasababu ndio wakati pekee katika maisha yako ulipokuwa na hofu ya kushindwa na ndio sehemu pekee ya maisha unapokua "under pressure". Ukiwatafuta vipanga wa darasani walikua wanaongoza mitihani yote, hutokuta wanaota ndoto kama zako.
Sikudharau lakini kulingana na ndoto zako inaonyesha elimu yako ulipitia misukosuko mingi na ufaulu wako ulikua wa kati au chini ukilinganisha na matarajio yako pia "jinsi ujianavyo na kujitambua"
Hivyo ndoto zinaonyesha unapitia wakati mgumu unaokupa wasiwasi wa maisha na hofu kutokana na "mental pressures" za maisha. Na jinsi ya kuzishinda/kubadilisha ndoto hizo ni mtizamo wako wa maisha. Ongeza kujiamini, jichanganye na watu pia punguza mitazamo hasi ya maisha (kuwa optimistic) maana hizo ndoto zinasema wewe ni pessimist.
Labda kama unajiuliza nikupe jibu, waliokua wakiongoza darasani hususani kwenye mitihani huwa na ndoto tofauti zinazowasumbua ukilinganisha na walio chini. Kwasasa "your concern should be that of yourself not others" maana nikikwambia wanachoota utashaanga zaidi na kuuliza kwanini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm ni mkristu Rc, naamini Mungu yupo ila siamini ktk majengo ya kanisa na viongozi wake, na hii ilitokea baada ya father ( padri) mmoja kumsumbua sana mpenz wangu akimtaka kimapenz, pia ukiangalia na mfumo wa michango Rc umetoa imani kabisainaamaanisha kiumri /kielimu wewe Ni mkubwa lakini spiritually/kiimani bado ni mdogo mno.wewe ni dini gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ww unaota zenye mtizamo chanya mkuu mm ni hasi kila nikiota na nikiamka nakasirika sana.Mzee hata mimi huwa naota hizi ndoto, ila mie ni tofauti na wewe kidogo,
Mie kidato cha 6 nilizingua, kipindi nipo kidato cha 5 mwishoni nilitia mimba mabinti fulani wawili(mmoja yupo kkoo, mwingine kinondoni) kipindi hicho nipo hostel kalita magomeni, natwanga shule Azania pale, mmoja mimba yake iliharibika km miezi miwili hivi, nikabaki na kasheshe huku, so 6 sikuisoma kwa raha wala amani kabisa mzee, sababu kidogo ile familia ilikuwa mtihani, mara binti wamfukuze, anipigie katimuliwa yupo mtaani hiyo saa 6/7 usiku,mara wanipigie simu za mikwara, mara nipigiwe simu wako njiani kwenda kwetu, uzuri bibie alikuwa hawapeleki mtaani kabisa, anazuga kapasahau! Iliwachukua kama miezi mi4/5 kupafahamu maskani, hapo nina km wiki 2 mbele nipoge pepa la mwisho, nakumbuka mpaka namaliza pepa, niliogopa hata kwenda home, ilibidi nijifungie kinondoni kwao rafiki yangu(wa damu) wiki kama 3 hivi mpaka mama aliponipigia simu kuwa nirejee tu nyumbani, kifupi sikusoma kwa amani km sio kusoma kabisa form 6, waliobahatika vibaya kupata majanga kama haya wanaelewa.(story ni ndefu kidogo) baada ya pepa km wiki 3 mbele ndio mwanangu akazaliwa.
Baada ya matokeo kuwa hovyo moyo ukafa ganzi kabisa na kitu shule nikaombwa nikasome hata diploma nikagoma kabisa nikaamua nifanye biashara zangu tu mtaani, baada ya mwaka kidogo nikatulia ile hamu ya school ikarudi tena nikaenda pale DIT kwa matokeo ya form 4, kupiga telecom nikasoma semister ya kwanza fresh! Ya pili nafsi ikaanza unyonge nikitizama wenzangu walipo na mie nilipo , nikajikuta semister ya pili ada yake nafanyia mambo mengine nikawa naenda kama ushahidi tu pale, nikapiga pepa nafsi ikagoma kabisa kurudi kusoma.
Na ubaya ama uzuri class nilikuwa vizuri, toka niko mdogo(primary) o level nilikuwa nikiishi najua mimi ni engineer wa baadae. Jamaa zangu wengi sasa ni ma engineer.
Hii kitu huwa naota saana, mara nyingi naota nipo zangu napiga pepa ya namba nacheza na zile namba km sina akili nzuri, au ndio hivyo nipo class, ama napiga pepa halafu vitu vinashuka tu easy, nacheki matokeo na vitu kama hivyo.
Ni ndoto ambazo naziota mnoo.
Sometimes natamani nirudi kusoma hata nikamilishe tu ndoto zangu, hata kama sintakifanyia kazi kile nitakachosomea, naimani nafsi itatulia, kama sio mwaka huu hata mwakani nikishafaniliwa kuoa inshaallah nitajaribu kusoma tena.
Sasa sijui kwa wewe ndoto hizo zinachagizwa na nini kwa kweli.
Mimi nina ndoto tatu ambazo hujirudiarudia.Ukiota shule zilizopita kama shule ya msingi au hata sekondari wakati wewe ulishamaliza na upo chuo kikuu au hata kikuu ulishamaliza siku nyingi ni ishara ya kurudiswa nyuma katika ulimwengu wa roho. Sasa hivi kuna mambo yanayoendelea kutaka kukurudisha nyuma. Kuna kazi za wachawi wakishirikana na roho chafu yaweza kuwa majini/mapepo n.k.