~Mkuu usipuuzie ndoto yoyote unayoota! Iandike!
Ukitaka kuamini hili,angalia unapoamka,unakua na hali gani? Umekosa raha,huzuni,umefadhaika,umekasirika,au umefurahi. nk.
√kimsingi ndoto ni mlango ambao Mungu anautumia sn kusema na wanadamu tukiwa tumelala,kwasababu mchana wengi wetu hatuna uwezo wa kumsikia Mungu!
Ayubu 33:14-17(soma hapa kwa faida yako,we ni mkristo umesema).
~lkn pia mlango huo unaweza kutumiwa na shetani,kupandikiza roho,uharibifu,kufanya maagano nk (coz wengi hawajui namna ya kuombea huo mlango adui asipitishe vitu vyake,yaani utumiwe na Mungu tu !
√kuna vyanzo tofauti vya ndoto, nitataja kibiblia;-ndoto kutoka kwa Mungu:zaburi 89:19,ayubu 33:14
-ndoto kutoka kwa shetani;Torati13:1-4
-ndoto kutokana na mahali unapolala(hali ya kiroho ya mahali hapo);Mwanzo 28:10-17..mfano; rahisi,ndoto unazoota ukilala kwny nyumba ya mganga wa kienyeji,kwenu,kanisani ni tofauti sbb ardhi huwa zinafanyiwa mambo mengi tu,kuwekwa wakfu(kuombewa) nk
-ndoto zinazotokana na kuwa na shughuli nyingi; kuwa busy na jambo fulani,kuliwaza sn nk;Mhubiri 5:3
~changamoto ni kujua hii ndoto chanzo chake ni nini?
~(Hiyo nimekupa tu overview ili kidogo unielewe huku mbele)
Mifano;
Soma Habari za Yesu,alipozaliwa,jinsi Yusufu alivyokuwa anasemeshwa kwenye ndoto namna ya kumkimbiza mtt!
Soma habari za Farao,Nebkadreza nk...Daniel4:1-34,mwanzo 41:7-8,Mathayo 2:22-23,1:24,2:13-18 nk
~Mungu anasema,anatupa taarifa zilizopita,zilizopo na zijazo kupitia Roho wake Mtakatifu!
√kuna wakati ukiota jiulize Jana yake ulikuwa unamuomba nn Mungu,au ulikuwa una maswali gani unajiuliza! Nk.
Ndoto za elimu kwa ujumla wake(nakupa maana soma then angalia we uko wapi,lkn pia Roho Mtakatifu yupo kukusaidia)sbb sijui maisha yako,pia ndoto zina details!(km VP inbox ipo mkuu)
√unajulishwa kiwango ulichonacho kimaandalizi,ktk fikra zako,ukilinganisha na jukumu lililoko mbele yako.
√au unajulishwa kuwa,kuna hatua mbele yako,ya kiutendaji na kimaisha,inayohitaji maandalizi ya kifikra.
√kuna jambo Fulani unatakiwa kuvuka kifikra lkn hukuweza,hujaweza kuvuka,na kwa ajili hiyo kuna eneo kwenye maisha yako ambalo limekwama kwa sbb hiyo.
√mkuu,huna maandalizi ya kutosha na utulivu kwenye jambo Fulani unalotaka kuvuka!
Kwenye maisha kuna mahali unataka kuvuka,ila bado kuna vikwazo kimaandalizi.
Sent using
Jamii Forums mobile app