Nkurukumbi
Senior Member
- Sep 6, 2013
- 196
- 78
Kwani ni lazima mwanaume ndo atoe huduma ya fedha kwa familia na mpenzi? Au ni jukumu la kila mtu? Wadada mnapenda sana kuhudumiwa kama mtu hana eti ni dume la mbegu!!! Jifunzeni kujitegemea sio mda wote unafiria kumtegemea mwanaume tu.