Hizi ndo tabia za madume ya mbegu.

Hizi ndo tabia za madume ya mbegu.

Hao unaowaita madume ya mbegu MBONA MBEGU ZAOHAZIONEANI?

hayo basi yatakuwa na jina jingine, dume la mbegu lenyewe ni kutoa mbegu tu baasi, majukumu mengine halijui.
 
yanatoa mbegu halafu mbegu zenyewe hazina nguvu wala afya..tafakari chukua hatua

hahahaha, naona umekuwa mkali zaidi, dume la namna hiyo siyo la mbegu aiseee.
 
Jamani tufikiri na maisha basi. Namna ya kusaka pesa/kuongeza kipato jaman. Kika siku ni haya tuuuu.
 
hata hapa tunayakumbusha madume ya mbegu yafanye kazi, au wewe umechukulia kwa mtizamo upi?
 
umekosea mkuu, huyo uliyemuongelea anaitwa mwanaume wa shoka, madume ya mbegu ni yale kula, kulala na kutawanya mbegu.

mr JEKI,

let us go back to animals..!

kazi kuu za dume la mbegu ( ng'ombe, mbuzi, kuku, sungura, mbwa, bata, nyati) ni zipi hasa?

mi najua hizi!

---- safety and security katika family.

---- kuhakikisha kizazi chenye nguvu katika koo kinaendelezwa

---- kuongoza familia kokote kule

sasa kwanini mwanaume yeye awe kula kulala?

nadhani tuliangalie hili kwa upana zaidi!

(kama kweli wewe umeishi katika familia za kichungaji utakuwa umeshuhudia haya nilionena!)
 
Last edited by a moderator:
sadly
kuna mwanaume namfaham...yeye anatongoza wadada watu wazima,wenye kazi zao na pesa zao..wanamhudumia kimavazi,anaishi kwao,wanampa pesa za club na starehe zingine zozote...anachowafanyia ni kuwahudumia kingono tuu..na wanampenda kweli..he is so happy about it,hakubali ushauri mwingine...kauli yake kuu ''namshukuru mama kwa kunizaa handsome,maisha hayanisumbui''.....huyu nae ni dume la mbegu??

Kwel yaaaaan yanakera et utasikia baby umekula utafikir lmeacha hela mi fukuza kabisa km upo hum aibu loo wanaume wa cku hz mnapnda kpewa
 
sadly
kuna mwanaume namfaham...yeye anatongoza wadada watu wazima,wenye kazi zao na pesa zao..wanamhudumia kimavazi,anaishi kwao,wanampa pesa za club na starehe zingine zozote...anachowafanyia ni kuwahudumia kingono tuu..na wanampenda kweli..he is so happy about it,hakubali ushauri mwingine...kauli yake kuu ''namshukuru mama kwa kunizaa handsome,maisha hayanisumbui''.....huyu nae ni dume la mbegu??

naona reference mnazo kweli!

mi nadhani litafutwe jina lingine mbadala, ila sio dume la mbegu!
 
mr JEKI,

let us go back to animals..!

kazi kuu za dume la mbegu ( ng'ombe, mbuzi, kuku, sungura, mbwa, bata, nyati) ni zipi hasa?

mi najua hizi!

---- safety and security katika family.

---- kuhakikisha kizazi chenye nguvu katika koo kinaendelezwa

---- kuongoza familia kokote kule

sasa kwanini mwanaume yeye awe kula kulala?

nadhani tuliangalie hili kwa upana zaidi!

(kama kweli wewe umeishi katika familia za kichungaji utakuwa umeshuhudia haya nilionena!)

upo sahihi kabisa, hivyo ndo mwanaume anavyotakiwa awe, ila yapo haya madume ya mbegu ambayo yenyewe yamebaki na kazi moja tu, ya kuendeleza kizazi.
 
sadly
kuna mwanaume namfaham...yeye anatongoza wadada watu wazima,wenye kazi zao na pesa zao..wanamhudumia kimavazi,anaishi kwao,wanampa pesa za club na starehe zingine zozote...anachowafanyia ni kuwahudumia kingono tuu..na wanampenda kweli..he is so happy about it,hakubali ushauri mwingine...kauli yake kuu ''namshukuru mama kwa kunizaa handsome,maisha hayanisumbui''.....huyu nae ni dume la mbegu??

haswaaa, hilo nalo ni dume la mbegu.
 
upo sahihi kabisa, hivyo ndo mwanaume anavyotakiwa awe, ila yapo haya madume ya mbegu ambayo yenyewe yamebaki na kazi moja tu, ya kuendeleza kizazi.

Na mwanamke anayesubiri kupewa kila kitu atakuwa JIKE la Mbolea...
 
Back
Top Bottom