and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,104
Kabla ya kupewa PEP lazima wakupime Kwanza kama hujaathirika. Ukiwa tayari hupewi
Ukienda hospital za serikali watakupa za kuanzia hata 3 ili uje siku/saa za Kazi wakupe counselling na watu wenye Ukimwi. Aisee hiyo experience NI hatari sanaEverything is right mkuu ni kwamba hawafanyi kazi jmosi na jumapili so siwezi subiri kuna njia nikapita kuzipata kwa mtu then ndo nazihakiki
Kama inaweza kuzuia maabukizi kwa 48 hrs,kwa nini hawazi upgrade zuzuie kwa muda wote???Dawa za kuzuia maambukizi hiv ndani ya saa 48
UKIMWI unaweza upata hata kama upo mtakatifu,maana unaweza letewa na Mume au MkeHizi comments unaweza kufa hata kabla hujameza hizo dawa zako za kuongeza siku
Unaogopa UKIMWI huku unatembea ovyo ovyo, aibu yako
Ulipokua unakatika ulijuona mwambaKuwa serious basi mkuu??
Zipo zinazozuia zinaitwa PrEP (Pre Exposure Prophylaxis),hutumiwa zaidi na makundi hatarishi kupata VVU kama madada poa au makaka poa na watu wenye multiple partners wengi, ila lazima utumie kila siku kama ARVs.Kama inaweza kuzuia maabukizi kwa 48 hrs,kwa nini hawazi upgrade zuzuie kwa muda wote???
Sio experiment tutatest km mirija ya uzazi iinafanya kazi au imeziba si unajua lakini,?Eh Kwan m panya niwe experiment kwako💔
Biashara matangazo hauzuiliki hata kwa condoms za Bati hapo ukipon na Perp ni Mungu tu kaepusha janga ila wapo wanaomeza na kitu inapenya ndani imoKama inaweza kuzuia maabukizi kwa 48 hrs,kwa nini hawazi upgrade zuzuie kwa muda wote???
Pep gardiolaPEP ndio nini na zinasaidia nini?
Hivi mmeshindwa kweli kujibu swali rahisi la mleta mada?''Is used with other HIV medications to help control HIV infection. It helps to decrease the amount of HIV in your body so your immune system can work better.''
Kavu sikuhizi imewekwa kundi la mihadarati, inauzwa kimagendo kwa bei chafu.Zile za kabla PreP au!?.. nataka zile za kabla ya maambukizi Ili nizagamue kavu,UTI ntatibu
Ila ni zenyewe si ndio mkuuuKavu sikuhizi imewekwa kundi la mihadarati, inauzwa kimagendo kwa bei chafu.
Kama hauna hela ama wewe ni lofa lofa, basi utagaiwa pipi ule na ganda lake tena kwa kususiwa kabisa.
Kitaalamu hapo inazuia muda wote.Kama inaweza kuzuia maabukizi kwa 48 hrs,kwa nini hawazi upgrade zuzuie kwa muda wote???
Hatujawahi kuzitumiaHivi mmeshindwa kweli kujibu swali rahisi la mleta mada?
Ingelikuwa ni mtiani, kweli mngelikubali kufeli kirahis rahisi namna hii?