Hizi ndo pep?

Hizi ndo pep?

P
Nikajua kwa sasa MSD PEP zao wanazosambaza hospital za serikali zote ni rangi nyeupe pekee.
 
PEP ndio nini na zinasaidia nini?
Post Exposure Prophylaxis,zinatumika baada kuwa kwenye hatari ya kuambukizwa HIV either kupitia ngono zembe au needle prick kwa health care personel,zinatakiwa kutumia within 72 hour baada ya kuwa exposed.Na ni kwa mwezi mzima daily kidonge kimoja.
 
Sawa sawa mkuu ila si ndo vyenyewe
 
Post Exposure Prophylaxis,zinatumika baada kuwa kwenye hatari ya kuambukizwa HIV either kupitia ngono zembe au needle prick kwa health care personel,zinatakiwa kutumia within 72 hour baada ya kuwa exposed.Na ni kwa mwezi mzima daily kidonge kimoja.
ooh kumbe,asante kwa kunielimisha
 
Kuingiza mimba iliyogoma kuingia zinatumiwa sana na wanaopenda kutombwa kavu kavu na hawataki mimba kwa hio huwa wanameza hizo kwanza ili kuboost uwezekano wa kutokupata mimba, vipi unataka kuonja kisha niku tujaribu kutest km kweli zinafanya kazi?
Eh Kwan m panya niwe experiment kwako💔
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom