Hizi ndo daldala za Zanzibar

Hizi ndo daldala za Zanzibar

Mmmmmh! Humo abiria wanakaa kwa kutazamana!
 
kama una kimini hukai. huku tumezoea kuona wenye vimini wakikaa kwenye mapaja waact kulaza mkoba wao. sasa kule na kimini chako juu unaweka mkoba wa mbele yako anakuangalia kupitia chini. ova
 
Hapo twatoka kwa mchambawima twaelekea kibandamaiti
 
kutoka msikiti wa madole mpaka kwa batashi lazima upitie mchambawima? halafu ni chafu mno, mara damu toka juu ya paa zizizojulikana za mnyama gani aliyepakiwa kwenye kipaa
 
kutoka msikiti wa madole mpaka kwa batashi lazima upitie mchambawima? halafu ni chafu mno, mara damu toka juu ya paa zizizojulikana za mnyama gani aliyepakiwa kwenye kipaa
Ndiyo mambo ya waswahili hayo. Daladala yenyewe imekaa kiubwabwa ubwabwa tu.
 
Back
Top Bottom