NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 2,906
- 3,672
Misikiti yote pesa wanachukua bakwata,sababu BAKWATA ni mali ya serikali na ccm
Wakatoliki tunajitambua hatuhongwi kipuuzi hizo million 50 ni makusanyo ya ibada Moja tu mwambieni atende haki aache kuteka na kuua watu.Kwa nini pesa nyingi katoa huku sana ni kwamba wafuasi wengi wapo huku.
View attachment 3358768
Nasadiki kanisa moja katoliki takatifu la mitume 😅😅😅Wakatoliki tunajitambua hatuhongwi kipuuzi hizo million 50 ni makusanyo ya ibada Moja tu mwambieni atende haki aache kuteka na kuua watu.
Mimi nina udini na uzanzibar kila mtu anajua.Kwa nini pesa nyingi katoa huku sana ni kwamba wafuasi wengi wapo huku.
View attachment 3358768
Duh.. Kuna watu wako vizuri👌🏿💪🏿Kwa nini pesa nyingi katoa huku sana ni kwamba wafuasi wengi wapo huku.
View attachment 3358768
Ningeweza kubadili dhehebu ningeondoka KKKTKKKT wanapewa nyingi kwa sbb askofu malasusa ndio chawa mkuu ktk viongozi wa dini.
Hata uchaguzi wake ccm ilikuwa na mkono wake.