Hizi ndizo nchi ambazo zinaisaidia Tanzania kifedha

Muhimu ni kuweka sera na mazingira wezeshi ya kukuza uchumi, na kuruhusu demokrasia, hiyo misaada pengo lake litapungua.
Tatizo nchi zetu za kiafrika siasa ndio kilakitu, kwenye siasa ndio kwenye ulaji, siasa ndio yenye ulaghai, siasa ndio inaamua kila jambo liwe sahihi ama lisiwe sahihi.
Bila kusahau kwenye siasa ndipo walipojaa makanjanja wengi wanapambania ulaji.
Na wanafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchanganuo mzuri kabisa, jeuri ya CCM Mpya itawatokea puani wasiposikiliza matakwa ya mabeberu.
Kimsingi ni kukosa ustaarabu na akili kwa uongozi wa awamu hii. Hata kama mtu humpendi, kuna namna nzuri ya ku deal naye.
 
China hawapo kwenye hiyo list? Mbona miradi yote ya ujenzi wanapewa China? Kwa hiyo ni sahihi kusema Wachina wanakuja kwetu kuchuma na si wabia wa maendeleo kama tuavyosema kila siku? Yaani tunapewa fedha toka Ulaya na Marekani, kisha Mchina ndiye anakuja kuzichukua!
 
Back
Top Bottom