Hizi ndizo mbinu za mabingwa wa kusaliti

Hizi ndizo mbinu za mabingwa wa kusaliti

Mjukuu wangu. Wanaume wote hawa unahangaika na msaliti mmoja ? Achana nae msisha yaendelee
 
Wake zetu wako kwenye 'take off' kwa kutoka nje ya ndoa zao. Vidume zamani walijidai kusaliti, wake zao wakavumilia sana huku wakilia ndani kwa ndani. Leo wanawake wameamua, ukimwaga mboga wao wanaomalizia kumwaga ugali, ukitoka jioni, kesho asubuhi nae anaenda kusuuzwa.

Life's changed!!!
 
Kuchepuka au kusaliti haipendezi hata kidogo...

Kwanza unaishi maisha ya wasi wasi kwamba hujui muda gani utafumaniwa...

Mambo yako ni ya vificho vificho... huna uhuru wala amani...

Cc: mahondaw
Yani wewe mahondaw akikupiga buti ni rahis sana kutabiri kifo chako either kujinyonga ama kumeza sumu na utafanya hivyo violently.

Big up mahondaw
 
Vice versa is true mkuu..... Smart911 simuachi kamwe na sitaki fanya makosaa.. Ni vile hujui tu.

Na incase akanimwaga ndo utakua mwisho wa id ya mahondaw jf.... I SWEAR
Mkuu wewe na mwenzak sielewag ni jinsia gan mahondaw na smart911,mnaznguaaaaa na ID zenu fake hapa
 
Vice versa is true mkuu..... Smart911 simuachi kamwe na sitaki fanya makosaa.. Ni vile hujui tu.

Na incase akanimwaga ndo utakua mwisho wa id ya mahondaw jf.... I SWEAR
Damn i really envy you guys. Ila mambo ibadilika sana kwenye rileshenship. Nawatakia kila la heri
 
Usaliti ktk ndoa ni km kachumbari kwa pilau ili ujue thaman ya ndoa yako lazima usaliti mkuu....
 
Ila jamani uongo mbaya kuchepuka kuna utamu wake bana. Ukutane na kidemu kibichi kitoto cha miaka 20 wakati wewe umri umesogea na mkeo nae kasogea, yaani pale mchepuko unakurudisha kwenye ujana kabisa. Kuchepuka sio kuzuri ila haramu tamuuu jamani
 
Ukitaka mkomesha mume msaliti...tease him with fear...act like ur cheating tooo uone anavokuja juu km kifuu lol
Km ni simu na we mpige stop kugusa yako nenda nayo bafuni ikibidi, be busy na ratiba zako pia,..kaka lazma ajiulize mara mbilimbili
 
Back
Top Bottom