Makuzi niliyo kulia so nimeviona sana.
Sema nilitakaga kununua nilipo enda Mbeya, tuliingia Mbeya pazuri nilikutana binti mmoja mzuri na kama unavyojua maumbo ya wanawake wa Mbeya, halafu wenzangu wote watatu nilioenda nao walichukua malaya,niliishia kumnunulia bia. Ila na shukuru nilikaza ila ilikuwa kidogo tu ni mchukue yule binti, kwani hata mzigo mfukoni nilikuwa nao kwani nilikuwa na kazi ya mwezi mzima,halafu wiki hiyo kulikuwa na mvua ya maana.Yote kwa yote funga kazi ilikuwa Singida, kwenye Bar ya Kilimani aisee Wanayaturu ni wanamatako, acha kabisa halafu siku hiyo palijaza.......... pale nilienda kula ilivyofika saa tatu nikaenda kulala maana ningendelea napo ningenunua tu.