Hizi ndizo ID ninazozipenda JF!

Hizi ndizo ID ninazozipenda JF!

Najua sana maana ya neno dark.

Lkn kwa nini iwe dark city na sio light city, enhe babu?

Unataka iwe Light City ili kila mtu aone kirahisi??

Hakuna maisha ya kirahisi rahisi namna hiyo.....Darkness is for sharp eyes and smart minds....

Are you one of them??

Babu DC!!
 
Unataka iwe Light City ili kila mtu aone kirahisi??

Hakuna maisha ya kirahisi rahisi namna hiyo.....Darkness is for sharp eyes and smart minds....

Are you one of them??

Babu DC!!

Ok, thats Gud. Now nimejua maana yake.

Iko poa.
 
Huwa najiuliza kila siku kama wenye hizi Ids wanafanana nazo kimuonekano au ndio unakuta bonge la jina kamtu kenyewe kadigidigi......kwa mfano huyu Watu8
 
mimi sio mbishi bwana. mi wananisingizia ni mtata.
nitake radhi kabla sijaanza ligi na wewe. sema suuuu:hand:

Hahahahahahhahahah,

Nenda mdogo mdogo komando wangu...kizazi cha siku hizi kiko fragile sana unajua!!

Babu DC!!
 
hahaha babu si unaona kijana anataka kuniingiza kwenye ubishani wakati mie sio mbishi. lol
kweli mazingira yanaweza kumshape mtu. jf inaniharibu!:sad::A S-alert1:

Halafu na wewe utakubali ikuharibu kweli??

Siwezi kuamini aisee...

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom