Hizi ndizo ID ninazozipenda JF!

Hizi ndizo ID ninazozipenda JF!

hizo ni ambazo zimekaa kikomedy kuna ambazo zimekaa kimahaba sasa ya Kwanzaa ya huyu Heaven on Earth yaani kila siku namapatia imagination tofauti ya jinsi alivyo....
 
Last edited by a moderator:
mnanishangaza sana kwani hili la ladyfurahia halijawachekesha na kuwafurahisha
 
Last edited by a moderator:
Kule kwetu watu wanaotoka milimani wanaitwa wa mndenyi. Sasa hii id ya Mamndenyi inanibamba sana
 
Last edited by a moderator:
Ila namuone huruma huyu mdada Heaven on Earth maana kuna yule jamaa wa Diamond Id zao zilitaka kufanana hivi. Sasa baadhi ya madongo huwa anapelekewa yeye nlishashuhudia siku flan hivi
 
Last edited by a moderator:
enhee huyo huyo wa chelsea!
sasa hiyo tu ndiyo sababu ya kudhan kwamba hili ni jina la kiume? Au yeye analilipia kodi? Halafu wakati nimeanza kutumia hiyo id wala sikuwa najua kama kuna mtu anaitwa demba ba. Just a coincidence
 
sasa hiyo tu ndiyo sababu ya kudhan kwamba hili ni jina la kiume? Au yeye analilipia kodi? Halafu wakati nimeanza kutumia hiyo id wala sikuwa najua kama kuna mtu anaitwa demba ba. Just a coincidence

Hongera yako!! Afu nadhani yule ndio amekuk0pi hilo jina!
 
Back
Top Bottom