Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,442
- 2,441
Wanawake na wanaume mbali na utofauti wa kijinsia na tofauti zote zinazoendana na swala la kijinsia yaliyobaki wako sawa tu.
Kama ambavyo mwanaume anakuwa na ndoto kubwakubwa na akapambana kuzipata ama kuzifikia y not mwanamke!? Tatizo lilipo ni kwamba tunaathiri na mifumo ya maisha ya kurithi.