Hizi ndio zilikuwa enzi

Daaaaah nimekumbuka mbaaaali sana ayseee wakati wa michezo pasipo kujua mchezo wowote ulikuwa hutii mguu kwenye "INJECTION".
Nakumbuka Wazir wa Michezo akiitwa "NO SHOES" pasipo urafiki naye siku ya Mechi za Shule na shule hupandi ndinga.
MWISHO Wizara ya Elimu imeyatelekeza haya magari Nchi nzima, naumia sana sana kuyaona yakiozea huko yalipo kwanini wasiyapige mnada basi wanayaacha yanaoza. Mhe.Ndalichako ondoa hizi Mbaula huko Mashuleni uwashushie Fuso kila shule.
Nyerere aliweza kuzileta hizo kila Sekondari Kongwe, sie sasa hivi promo nyiiiingi lkn shule hazina hata kirikuu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…