Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,562
Khaaaaah!! Ndio naanzaje hebu nifundishe
hatua ya kwanza tupia picha yako!
Khaaaaah!! Ndio naanzaje hebu nifundishe
vp askarna tulio na virimradi vyetu
Koh koh koh
Mmmmmmh makubwa leo ni trh 13 mngoja...
MCHUNGUZI HURU
Umechemka. Ni hivi kwa anayefanya kazi, mwisho wa mwezi ndio tarehe za kuvuna toka kwa bf wake, hivyo atazitumiaa hadi tarehe hizi bf kaishiwa ndio yeye anaanza kutumia mshahara wake, taratibu bila bf kujua, unajua wanawake walivyo wabinafsi (sio wote). Chunguza tena!