Katika kuangalia zangu series hiz ndio series zangu kali za mda wote
1.innocent defendent
Hii ndio kwangu series yangu Bora kuliko zote hi ni ya kikorea ya town inamchanganyiko wa matumizi ya akili nyingi, Ina ngumi, kisa kizuri, matukio yenye kuvutia na pia ni unpredictable
2.into the Badlands
3.Last
Hii ni ya kikorea ya town inamuhusu mhasibu mmoja alikuwa na maisha mazuri baadae akawa masikini ikabidi aishi maisha ambayo hajayazoea alikuwa na demu mzuri kabla baada ya kuwa masikini demu akamtosa ikabidi awe ombaomba kwenye hiyo sehemu inaitwa soul station ambapo ili uwe na mamlaka japo kidogo unatakiwa wasimamizi wenye rank 1 mpaka 7 Kama mkimpiga mmoja wapo unachukua position yake ya kimamlaka ya kuwaongoza hao ombaomba na pia unapata unafuu wa maisha tofauti na hapo unakuwa mtu wakutumikishwa na hao wenye hizo number.je muhasibu ataface vip hizo challenges?
4.Banshee
Hii inahusu mwizi mmoja anachua position ya polisi fulani nakujifanya ndo yeye wakati mafunzo ya polisi Hana kudili na waharifu wakorofi.je njia zip anatumia ili asijulikane na challenge zipi atakutana nazo?
5.The empress ki
Hii ni ya kikorea lakini ya villages kitu ambacho kimenivutia kwenye hii series inagusa maisha tunayoishi Mambo yanayofundisha ni pamoja na tamaa, unapofanikiwa sana ndipo unazidisha maadui,si kila Jambo lazima utumie nguvu kutatua sometime unatakiwa utumie akili kumshinda adui yako through his weakness.
NB: ukizifuatilia hiz series utajuta kutumi bando lako ni nzuri mno.
Wale wakorea si watu wazuri Kama unataka yeye story nzuri na ngumi angalia innocent defendent na last nenda Google andika dramanice itakuja alafu unasearch hizo series utapata.Kaka hizi series naweza kuzipata jukwaa gani nikishatoka kuusoma huu uzi?
Wakorea wako juu sana kwa series za vitendo na hata stories.
Napendaga sana series za vitendo kama "Iris"
Niliapa kamwe sitakuja nithubutu kamwe kuangalia love stories sababu huwa napendaga sana action movies za ngumi, karate na comfuu lakini nilisarenda kwa
ENDLESS LOVE & TEMPTATION.
Wakorea ni sayari nyingine kabisa katika series nzuri sana kwa vitendo na hata mazingira ya kuvutia japo wana uwongo lakini si sawa na Wahindi na Wachina.
nilikuwa nayo hiyo sikuilewa kabisa mkuu hovyo tu nikalifutilia mbali.Ole wenu mnaonihamsisha kuangalia Banshee.. Hafu nikute si nzuri kama mnavyoisifia. Tutaonana wabaya.ninayo imetulia.
My Favourite Season
Ni All Marvel Movies
Nielezee kidogo hiyo six flying dragons inahusu nini?Kuna six flying dragons
The legend of blue sea
The man called god
Joseon gunman
Jang yeong shil
Kwa heshima na taadhima JUMONG
Download terrarium tv apk google,then unaweza kuwatch na kudownload pia.Naombeni jinsi ya kudownload hizo series za kikorea zikiwa na subtitles, natumia android.
zipo za kikorea mkuu?Download terrarium tv apk google,then unaweza kuwatch na kudownload pia.
Katika kuangalia zangu series hiz ndio series zangu kali za mda wote
1.innocent defendent
Hii ndio kwangu series yangu Bora kuliko zote hi ni ya kikorea ya town inamchanganyiko wa matumizi ya akili nyingi, Ina ngumi, kisa kizuri, matukio yenye kuvutia na pia ni unpredictable
2.into the Badlands
3.Last
Hii ni ya kikorea ya town inamuhusu mhasibu mmoja alikuwa na maisha mazuri baadae akawa masikini ikabidi aishi maisha ambayo hajayazoea alikuwa na demu mzuri kabla baada ya kuwa masikini demu akamtosa ikabidi awe ombaomba kwenye hiyo sehemu inaitwa soul station ambapo ili uwe na mamlaka japo kidogo unatakiwa wasimamizi wenye rank 1 mpaka 7 Kama mkimpiga mmoja wapo unachukua position yake ya kimamlaka ya kuwaongoza hao ombaomba na pia unapata unafuu wa maisha tofauti na hapo unakuwa mtu wakutumikishwa na hao wenye hizo number.je muhasibu ataface vip hizo challenges?
4.Banshee
Hii inahusu mwizi mmoja anachua position ya polisi fulani nakujifanya ndo yeye wakati mafunzo ya polisi Hana kudili na waharifu wakorofi.je njia zip anatumia ili asijulikane na challenge zipi atakutana nazo?
5.The empress ki
Hii ni ya kikorea lakini ya villages kitu ambacho kimenivutia kwenye hii series inagusa maisha tunayoishi Mambo yanayofundisha ni pamoja na tamaa, unapofanikiwa sana ndipo unazidisha maadui,si kila Jambo lazima utumie nguvu kutatua sometime unatakiwa utumie akili kumshinda adui yako through his weakness.
NB: ukizifuatilia hiz series utajuta kutumi bando lako ni nzuri mno.
Download terrarium tv apk google,then unaweza kuwatch na kudownload pia.
Labda hujawahi kuziangalia LOST na INTO THE BADLAND