Hizi ndio ndoa

Hizi ndio ndoa

Registered_jf

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
920
Reaction score
1,454
Sisi wapenzi watazamaji tukiongelea ndoa tunamaanisha hizi 👇🏾

Sio unasimama pembeni ya cheti ah-ah. Picha yenu hadi tusubiri Usimame pembeni ya jeneza.

Lazima uwe pembeni ya Bwana / Bibi ujidai. Namna hiyo!

SmartSelect_20250809-175519_Instagram.jpg

SmartSelect_20250809-175536_Instagram.jpg

SmartSelect_20250809-175611_Instagram.jpg

SmartSelect_20250809-175141_Instagram.jpg

SmartSelect_20250809-175334_Instagram.jpg

SmartSelect_20250809-175302_Instagram.jpg

SmartSelect_20250809-175445_Instagram.jpg

SmartSelect_20250809-175400_Instagram.jpg

SmartSelect_20250809-175419_Instagram.jpg

Na usiseme tunadanganyika na picha, waigizaji wa kwenye picha mbona wanajulikana :2Head: , body language doesn't lie.

Ni hayo tu.

Nikiripoti kutoka site, ni mimi mpenzi mtazamaji wa maigizo yasiyo hela

young-woman-looking-through-binoculars-in-grass-debica-poland-E5ADT4.jpg
 
Hayanaga muongozo mkuu. Mimi kuna mzee mmoja jirani yangu katalikiana na mkewe wakati wote wawili tayari ni wazee (miaka 65+). Sina uhakika wameishi miaka mingapi, lakini mtoto wao wa kwanza ni baba mtu mzima above 40
Miaka 35+ hakuna kuigiza hapo
 
Hayanaga muongozo mkuu. Mimi kuna mzee mmoja jirani yangu katalikiana na mkewe wakati wote wawili tayari ni wazee (miaka 65+). Sina uhakika wameishi miaka mingapi, lakini mtoto wao wa kwanza ni baba mtu mzima above 40
Nilifikiri amemaanisha hawa walivyo kwenye picha after 35yrs basi hamna maigizo, ni genuine.

Wale wa 35+yrs kulea watoto mbona wanajulikana.

Kwanza picha zao za pamoja utazipata kwa bahati mbaya, utakuta ndugu alilazimisha kuwapiga picha.

Pili hawagusani hata kwa bahati mbaya.

Tatu wakigusana unaona kabisa anayeguswa ni kama anaomba msaada kutolewa eneo hilo.

Sijui niendelee au niachane na yasiyonihusu :2Head:
 
Nilifikiri amemaanisha hawa walivyo kwenye picha after 35yrs basi hamna maigizo, ni genuine.

Wale wa 35+yrs kulea watoto mbona wanajulikana.

Kwanza picha zao za pamoja utazipata kwa bahato mbaya, utakuta ndugu alilazimisha kuwapiga picha.

Pili hawagusani hata kwa bahati mbaya.

Tatu wakigusana unaona kabisa anayeguzwa ni kama anaomba msaada kutolewa eneo hilo.

Sijui niendelee au niachane na yasiyonihusu :2Head:
Umedadavua vyema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom