The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,578
- 17,013
Nakuona mkuuThe choosen One mkuu nipo hapa.
Nakuona mkuuThe choosen One mkuu nipo hapa.
Cha ajabu hawahawa kwenye "Face Book" na "Instagram"hawafanyi upuuzi huu, au kwa kuwa zinamikiwa na Wazungu na hii JF ni wabongo?Katika pita pita zangu humu ndani Ni
metokea kuona watu wenye ID za ajabu sijapata kuona hizi ni baadhi...!
.
1.Kazitunayo
2.sigara kali
3.tamuu
4.simba.asiyefugika
5.pumzi haiuzwii
6.Ngozi Mbili
7.Askari mwoga
8.mkwepa kodi
n.k
hizi ni baadhi ya ID za humu ndani
Je wewe ni ID gani inakuacha hoi humu ndani....!!!
Tell us....
Miminsio Mchagga ila nafahamu hivyo pia.@Naantombe Mushi= Naanto= Zakuamka, Mbe= Mkubwa, Mushi=ukoo; Naantombe Mushi: Zakuamka Mkubwa Mushi
Miminsio Mchagga ila nafahamu hivyo pia.
Noma[emoji23] [emoji23] [emoji23]haaahaa!