Hizi namba za gari ni za Nchi hii?

Hizi namba za gari ni za Nchi hii?

Kwa walivyokaa hapo inabidi usepe na kijiji kama Messi. Unapita na Mashine Toyota Supra mwendo wa kuvuta handbrake kwa mbali unawazunguka kisha una pigs burn out wakitaka wasome namba wanakuta moshi.
Yaaaaaale mambo ya akina Dominic Toreto Fast and Furious' Mzee una back up ya kutosha kwa huo msala?
 
kosa si yatakuwa mawili tu mwendo kasi na kutogeshimu alama ya barabarani kuwa usiende spidi zaidi ya 50. Tshsv60000 ya magufuli
Yaaaaaale mambo ya akina Dominic Toreto Fast and Furious' Mzee una back up ya kutosha kwa huo msala?
 
Back
Top Bottom