EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,568
- 21,389
- Thread starter
- #21
Ahaa namaanisha zimetengwa kwa shughuli maalumuSijakuelewa hapo mkuu' ukisema ziko reserved ndo inakua na maana gani? Kw kiswahili mkuu.
Ahaa namaanisha zimetengwa kwa shughuli maalumuSijakuelewa hapo mkuu' ukisema ziko reserved ndo inakua na maana gani? Kw kiswahili mkuu.
Okay il hizo shughuli maalum kuna uwezekno ikawa ndani ya serikali' NGO'S Au siyo?Ahaa namaanisha zimetengwa kwa shughuli maalumu
Pia kuna Gari za tatakuru wana namba nyeusi za tofauti fulaniMkuu acha hiyo ulioweka hapo' mie kuna gari aina ni Landcruiser hardtop rangi nyeupe ina plate number za kitanzania kabisa ila ule ubao wake ni rangi nyeusi tii' nimezoea kuona ubao wake ni njano au nyeupe' mpka leo bado sijapata jibu kamili kila nnae muuliza anakua na jibi tofauti mara hiyo mtu kailipia au ya polisi mwingine akaniambia ni usalama kuna mmoja aliniambia itakua ya watalii wamelipia kwa muda wote wakiwa hapa na mmoja akaniambia ni maafisa wa ubalozi. Binafsi bado natafuta jibu kama hilo swali lako
Wale watu yako kibao saa hivi wala usishangae[emoji2][emoji2][emoji2]Hili ni gari la polisi..Mara kadhaa nimeona kuna baadhi ya magari ya polisi yana namba kama hizi. Ni namba zinazotambulika rasmi na ni je ni kwa ajili tu ya magari ya polisi
View attachment 1548581
AiseeYaani mtu anajiita evilspirit?!! Hivi kweli tumekubali shetani achukue ufahamu wetu kiasi hiki? Yaani unaanzaje kumkumbatia shetani kijinga hivi. Au huelewi maana ya kujiita hivyo? SMH
JW hizoAu nyingine zinakua na kibao cheusi maandishi meupe alafu namba zinakua zimekaa ovyo ovyo mfano 6XJHL87
[emoji23][emoji23][emoji23]Za wajuba hizo.View attachment 1548870
Kumbe? Ila kuna mkurugenzi wa halmashauri moja nae anatumia
Nimeshangaa sana kwa kushindwa kwako kutambua mashetani yapo kila sehemu hata humu JF iwapo, ukitaka nikutajie ID za mapepo unaweza kutuma maombi rasmi ya kuhitaji kujuzwa kuhusu ID zote za mapepo ya JfYaani mtu anajiita evilspirit?!! Hivi kweli tumekubali shetani achukue ufahamu wetu kiasi hiki? Yaani unaanzaje kumkumbatia shetani kijinga hivi. Au huelewi maana ya kujiita hivyo? SMH
Mikoa ya Kanda ya ziwa??Hili ni gari la polisi..Mara kadhaa nimeona kuna baadhi ya magari ya polisi yana namba kama hizi. Ni namba zinazotambulika rasmi na ni je ni kwa ajili tu ya magari ya polisi
View attachment 1548581
Ni usalamaMkuu acha hiyo ulioweka hapo' mie kuna gari aina ni Landcruiser hardtop rangi nyeupe ina plate number za kitanzania kabisa ila ule ubao wake ni rangi nyeusi tii' nimezoea kuona ubao wake ni njano au nyeupe' mpka leo bado sijapata jibu kamili kila nnae muuliza anakua na jibi tofauti mara hiyo mtu kailipia au ya polisi mwingine akaniambia ni usalama kuna mmoja aliniambia itakua ya watalii wamelipia kwa muda wote wakiwa hapa na mmoja akaniambia ni maafisa wa ubalozi. Binafsi bado natafuta jibu kama hilo swali lako
Kwahiyo wewe ni mmoja wao?Nimeshangaa sana kwa kushindwa kwako kutambua mashetani yapo kila sehemu hata humu JF iwapo, ukitaka nikutajie ID za mapepo unaweza kutuma maombi rasmi ya kuhitaji kujuzwa kuhusu ID zote za mapepo ya Jf
Unauliza uke kwa mwanamke?Kwahiyo wewe ni mmoja wao?
Sasa mkuu mie nimeona hiyo namba8 ila tofauti ina number za kawaida tu yaan plate ni nyeusi tii ila number ni T digits ADB? Hapo je?Rangi za plate namba na maana zake Tanzania
1. Kibao chenye rangi ya njano na namba inayoanza na herufi T
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika limesajiliwa kutumika kwa ajili ya shughuli binafsi. Kwa kiingereza inasemwa "private use". Magari yenye vibao hivi hayaruhusiwi kutumika kwa ajili ya biashara.
2. Kibao chenye rangi nyeupe na namba inayoanza na herufi T
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika limesajiliwa kwa ajili ya matumizi ya biashara. Kwa kiingereza inasemwa "commercial use". Mfano mzuri daladala au basi za kubeba abiria na taxi.
3. Kibao chenye rangi ya njano na namba haianzi na herufi T
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na taasisi ya umma au serikali. Hapa kuna makundi yafuatayo:
(a) SU - shirika la umma, mfano vyuo vikuu vya serikali
(b) SM - Serikali za Mitaa, mfano ni halmashauri
(c) STK, STL, STJ - Serikali, mfano ni wizara
4. Kibao chenye rangi nyekundu na namba inayoanza na herufi DFP au DFPA
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika limetolewa kwa ajili ya matumizi ya miradi inayofadhiliwa na wafadhili kutoka nje ya nchi.
5. Kibao chenye rangi ya bluu na namba inayoanza na herufi T kufuatiwa na namba na kisha herufi CD
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na moja ya shirika la umoja wa mataifa. Mfano shirika la Afya Duniani (WHO).
6. Kibao chenye rangi ya kijani na namba inayoanza na herufi T kufuatiwa na namba na kisha herufi CD
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na ofisi za ubalozi wa nchi fulani. Mfano ubalozi wa Ufaransa.
7. Kibao chenye rangi nyeusi na namba zimeandiwa kwa rangi ya njano
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na Jeshi la Polisi. Namba hizi huwa na herufi PT
8. Kibao chenye rangi nyeusi na namba zimeandiwa kwa rangi ya nyeupe
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na Jeshi la Wananchi (JW). Namba hizi huwa na herufi JW.
9. Kibao chenye rangi ya kijani na namba zenye herufi MT
Kibao hiki kinabeba maana kuwa gari husika linamilikiwa na Jeshi la Magereza.
10. Kibao chenye rangi ya njano na namba za RAC.
Kibao hiki kinabeba maana ya kuwa Gari husika linamilikiwa na shirika la reli Tanzania.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mkuu unanionea!!! Sasa hapa wanaingia vp hao jamaa????? Wewe weka majibu tofauti na hii mada piga kimya mkuu'
JW hao mzee sio lazima iwe kama ilivozoeleka.Sasa mkuu mie nimeona hiyo namba8 ila tofauti ina number za kawaida tu yaan plate ni nyeusi tii ila number ni T digits ADB? Hapo je?