EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,567
- 21,389
Hili ni gari la polisi..Mara kadhaa nimeona kuna baadhi ya magari ya polisi yana namba kama hizi. Ni namba zinazotambulika rasmi na ni je ni kwa ajili tu ya magari ya polisi
NimeshawekaWeka picha
Kwa gari kuwa tu namba kama hizo tayari mtu makini anagundua kitu.kama madhumuni ni kuwa undercover namba za kiraia zingekuwa betterzinatumiwa na usalama na jeshi la polisi kuficha identity zao
Na ndio uhalisiaKwa gari kuwa tu namba kama hizo tayari mtu makini anagundua kitu.kama madhumuni ni kuwa undercover namba za kiraia zingekuwa better
Je unafikiri mleta Uzi kwanini kaleta Uzi huu?zinatumiwa na usalama na jeshi la polisi kuficha identity zao
Kwa gari kuwa tu namba kama hizo tayari mtu makini anagundua kitu.kama madhumuni ni kuwa undercover namba za kiraia zingekuwa better
Inaonekana kama kuna namna fulani za namba zipo reservedMkuu acha hiyo ulioweka hapo' mie kuna gari aina ni Landcruiser hardtop rangi nyeupe ina plate number za kitanzania kabisa ila ule ubao wake ni rangi nyeusi tii' nimezoea kuona ubao wake ni njano au nyeupe' mpka leo bado sijapata jibu kamili kila nnae muuliza anakua na jibi tofauti mara hiyo mtu kailipia au ya polisi mwingine akaniambia ni usalama kuna mmoja aliniambia itakua ya watalii wamelipia kwa muda wote wakiwa hapa na mmoja akaniambia ni maafisa wa ubalozi. Binafsi bado natafuta jibu kama hilo swali lako!!!!
Sijakuelewa hapo mkuu' ukisema ziko reserved ndo inakua na maana gani? Kw kiswahili mkuu.Inaonekana kama kuna namna fulani za namba zipo reserved