Ktk taasis za ma benk wana ruhusu mtu yeyote mwenye stashahada ya fani yeyote kupeleka cv yake lkn kwa ilo la NBC wengi wameliwa muda wao tu ...mi kuna jamaa yangu yupo dodoma alienda Ktk ofis za NBC lkn wakaambulia patupu tu
Jaman ndugu zangu hizo habr zilizosambazwa nizakwel mm mwnywe binafsi niilishaitw kweny interview week ilopita siku ya ijumaa na tukafany mtihan mtihan apo wa dakika 45 weny maswali 20 kisha wakasem twende HR Atatupigia sim bt mpk nw tumekaa tunasubiria.....ushaur interview ilishaisha toka zamn nashaur mtu asije poteza hela ake bure.
Hapa nimepata kitu, inaonekana wazi hizo nafasi zilikuwepo lakini kwa ajili ya ndugu tu wa wafanyakazi wa NBC, sasa kufoward kumekua kwingi mpka wengi wakapata taarifa.
Yani bado kama huna network utasubir sana, hasa wale wenzangu wa Zoom.
Hivi serikali haina shares kwenye bank ya NBC ??...au ni totally private ownership... Inawezekana nafaci zilitoka kinyemela kwa wao kwa wao..ni maoni tu.
Poleni ndugu zangu ila msikate tamaa kama umri unaruhusu kasome ongeza vyeti, kwenye awamu hii naamini ajira zitatengenezwa ila cheti chako kitaamua upate au uendelee kusubiri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.