Hizi mila na desturi

Hizi mila na desturi

DissDotCom

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
395
Reaction score
271
Dah mfano huyo ndio mchumba uliekabidhiwa toka kwa wazazi utamkubali?
 

Attachments

  • 1444942009200.jpg
    1444942009200.jpg
    20.8 KB · Views: 958
Uzuri wa mila na desturi ni kuwa perception na attitude yako juu ya mambo flani flani inakuwa sawa tu na wazazi Wako. Kuna mtu hawezi kumsogelea mwanamke alietoboa pua na kuvaa kishaufu cha dhahabu, japo kwa mwingine ni urembo!
 
Nilivyo huru kifikra siwezi kabisa kukubali kukabidhiwa mchumba na wazazi [labda itokee tu sadfa kwamba huyo wanayenikabidhi naye nimemzimikia naye kanizimikia].
 
Wanaojichubua Nao wana makosa sio...kadharika wanaoweka nywele bandia..kalio bandio
 
Hivi hawa watu wanaweza kuongea bila ya kutoa hayo 'madude' mdomoni?
 
Ahaa wap lazima watoe kwanza kuna video niliona wakienda kulala wanayavua ila asubuhi ni lazima uvae kabla hujaonekana
 
Back
Top Bottom