Hizi kesi zimeishia wapi?

MtazamoWangu

JF-Expert Member
Apr 25, 2009
313
7
Wadau mtaniwia radhi kwa kutokuwa na habari kuhusu hizi kesi ambazo zilivuma sana, lakini ghafla zimezima kama moto uliomwagiwa maji:

1. ile kesi ya mzee wa UTAMU, walisema ataletwa nchini,ohh amekamatwa...
2. yule kijana aliyempiga Mwinyi kibao kwenye sherehe....
3. lile suala la buzwagi nani alishinda? je pale hakukuwa na kesi ya kujibu mbona ni richmond tu inatajwa..??

nimetanguliza samahani kwa wajuaji na waongeaji mliojaliwa midomo....
 
1;kesi ya mzee wa utamu ulikuwa uzushi tu.
2;kijana aliyempiga kibao mzee ruksa alishahukumiwa kwenda jela sikumbuki kifungo ni cha muda gani.
3;richmond na buzwagi no comment

labda kwa mwenye kumbukumbu pia ya wale majambazi sugu waliokuwa wanafikishwa mahakamani mwanzoni mwa 2006[mfano babu sambeke,AM] ziliishia wapi?
 
Na vipi kuhusu kesi za wale mafisadi wa EPA? huwa tunasikia kesi ya mtu mmoja tu, yule kada wa CCM; Maranda, wengine tangu wapewe dhamana hatujasikia tena habari zao au ulikuwa usanii?
 
mkuu nchi hii imejaa usanii sana, watu wakishapelekwa mahakamani ndio unakuwa mwisho wa mambo hakuna kinachoendelea
 
Wadau mtaniwia radhi kwa kutokuwa na habari kuhusu hizi kesi ambazo zilivuma sana, lakini ghafla zimezima kama moto uliomwagiwa maji:

1. ile kesi ya mzee wa UTAMU, walisema ataletwa nchini,ohh amekamatwa...
2. yule kijana aliyempiga Mwinyi kibao kwenye sherehe....
3. lile suala la buzwagi nani alishinda? je pale hakukuwa na kesi ya kujibu mbona ni richmond tu inatajwa..??

nimetanguliza samahani kwa wajuaji na waongeaji mliojaliwa midomo....

Ongeza ile kesi ya mtu aliyekuwa na mitambo ya kutengeneza madawa ya kulevya nyumbani kwake, kule Kunduchi. Hata magazeti yakatoa picha ya nyumba.

Hata hivyo tusishangae maana nasikia judges wana hadhi zao za kununuliwa. Wapo wa milioni 2 hadi huko juu.
 
ili haki itendeke ni lazima mahakama ijiridhishe kuona kuwa wanaoletwa wanapata fursa ya kusililizwa na kujitetea ndo maana kesi zinachukua muda mrefu, hata hivyo napingana na wazo la jaji kiongozi kuwa kesi za epa ziharakishwe, alichopaswa kusema ni kuwa judiciary wajitahidi kuharakisha bila kupoteza haki ya mtu
 
Wadau mtaniwia radhi kwa kutokuwa na habari kuhusu hizi kesi ambazo zilivuma sana, lakini ghafla zimezima kama moto uliomwagiwa maji:

1. ile kesi ya mzee wa UTAMU, walisema ataletwa nchini,ohh amekamatwa...
2. yule kijana aliyempiga Mwinyi kibao kwenye sherehe....
3. lile suala la buzwagi nani alishinda? je pale hakukuwa na kesi ya kujibu mbona ni richmond tu inatajwa..??

nimetanguliza samahani kwa wajuaji na waongeaji mliojaliwa midomo....

...usiwe na shaka, uchunguzi wa kitaalamu bado unaendelea.

Kazi nyingi mkubwa; ...kuna 'chunguzi' nyingine mezani zingali zikiendelea, mfano;

-Chenge na mauaji-kibajaj,
-majina ya wauza madawa ya kulevya alopelekea Mheshimiwa,
-ununuzi wa Radar,
-watuhumiwa wa ufisadi bandarini Dar,
-nk nk nk...

mengine haya kama yaliyowakumba marehemu kina Dotopile, na Balali, milipuka ya mabomu mbagala, nk ni kazi ya mungu tu, haina makosa,... ni bahati mbaya. Hakuna wa kulaumiwa.
 
Nendeni mahakamani mkaombe updates kama mna maslahi na hizo kesi!
 
Nendeni mahakamani mkaombe updates kama mna maslahi na hizo kesi!

majibu yako na display picha yako vinafanana kabisa...ni wewe mzee ngombale??? we subiri ufe tu tukuzike na katiba ya chama...siku hizo ni nyimbo za chama tu TANU mpaka CCM...
 
Nendeni mahakamani mkaombe updates kama mna maslahi na hizo kesi!

Ulipokamatwa na madebe ya bangi ukisingizia mafuta ya kula ulimalizaje kesi hiyo?
Ukisha sema hilo, tueleze kesi ya kuua ya mtoto wa Rupia iliishia wapi?

Tunataka kuishi vizuri na siyo kufa vizuri kama Kingunge
 
Ukiona kesi nyingi kama hizi haziishi au hazijulikani kama zinaendelea au laa basi ujue tatizo ni polisi wetu na mahakama zetu,yaani kila kona ile nchi ni uozo tuu,ukienda huko mawilayani miiserikali imejaza vitambi tuu mpaka kupumua haiwezi na hata kuwaona ni shida maana wanajiona kama mungu...yaani umaskini tabu kweli kweli!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom