Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Mahakama ipo ya kufanya kazi gani?1. Katika kichwa cha mada yako umesema CCM inafurahia kifo cha asiye mwanaCCM na kwenye maelezo umemtaja RC aliyeua kibaka aliyevamia. Hapo hujathibitisha kwamba vibaka wote ni wanachama wa vyama vingine isipokuwa ccm?
2. Kama vyama vingine vinafuga vibaka ,je ni halali kiendelea kuendelea kulea vyama hivyo? KWA nini visifutwe?
3. Kwa maslahi ya nani unatetea vibaka ambao wengi wao hubaka dada zetu wanapovamia nyumba za watu , wengine huua kabisa na wengine hudhuru kwa namna moja au nyingine? kwako wewe huyo rc angedhuriwa na huyo kibaka ndio ingekuwa furaha?
acha uanaharakati usio na faida ni mbaya kwako, kwa familia yako ,kwa jamii yako na kwa nchi yako kwa ujumla
Mahakama ina kazi gani katika awamu hii?1. Katika kichwa cha mada yako umesema CCM inafurahia kifo cha asiye mwanaCCM na kwenye maelezo umemtaja RC aliyeua kibaka aliyevamia. Hapo hujathibitisha kwamba vibaka wote ni wanachama wa vyama vingine isipokuwa ccm?
2. Kama vyama vingine vinafuga vibaka ,je ni halali kiendelea kuendelea kulea vyama hivyo? KWA nini visifutwe?
3. Kwa maslahi ya nani unatetea vibaka ambao wengi wao hubaka dada zetu wanapovamia nyumba za watu , wengine huua kabisa na wengine hudhuru kwa namna moja au nyingine? kwako wewe huyo rc angedhuriwa na huyo kibaka ndio ingekuwa furaha?
acha uanaharakati usio na faida ni mbaya kwako, kwa familia yako ,kwa jamii yako na kwa nchi yako kwa ujumla
Subiri uteuzi.1. Katika kichwa cha mada yako umesema CCM inafurahia kifo cha asiye mwanaCCM na kwenye maelezo umemtaja RC aliyeua kibaka aliyevamia. Hapo hujathibitisha kwamba vibaka wote ni wanachama wa vyama vingine isipokuwa ccm?
2. Kama vyama vingine vinafuga vibaka ,je ni halali kiendelea kuendelea kulea vyama hivyo? KWA nini visifutwe?
3. Kwa maslahi ya nani unatetea vibaka ambao wengi wao hubaka dada zetu wanapovamia nyumba za watu , wengine huua kabisa na wengine hudhuru kwa namna moja au nyingine? kwako wewe huyo rc angedhuriwa na huyo kibaka ndio ingekuwa furaha?
acha uanaharakati usio na faida ni mbaya kwako, kwa familia yako ,kwa jamii yako na kwa nchi yako kwa ujumla
Wewe kwako matamshi ya huyo Rc yako sawa?1. Katika kichwa cha mada yako umesema CCM inafurahia kifo cha asiye mwanaCCM na kwenye maelezo umemtaja RC aliyeua kibaka aliyevamia. Hapo hujathibitisha kwamba vibaka wote ni wanachama wa vyama vingine isipokuwa ccm?
2. Kama vyama vingine vinafuga vibaka ,je ni halali kiendelea kuendelea kulea vyama hivyo? KWA nini visifutwe?
3. Kwa maslahi ya nani unatetea vibaka ambao wengi wao hubaka dada zetu wanapovamia nyumba za watu , wengine huua kabisa na wengine hudhuru kwa namna moja au nyingine? kwako wewe huyo rc angedhuriwa na huyo kibaka ndio ingekuwa furaha?
acha uanaharakati usio na faida ni mbaya kwako, kwa familia yako ,kwa jamii yako na kwa nchi yako kwa ujumla
Kusoma kwako kote umeona tu hapo kwa kibaka?1. Katika kichwa cha mada yako umesema CCM inafurahia kifo cha asiye mwanaCCM na kwenye maelezo umemtaja RC aliyeua kibaka aliyevamia. Hapo hujathibitisha kwamba vibaka wote ni wanachama wa vyama vingine isipokuwa ccm?
2. Kama vyama vingine vinafuga vibaka ,je ni halali kiendelea kuendelea kulea vyama hivyo? KWA nini visifutwe?
3. Kwa maslahi ya nani unatetea vibaka ambao wengi wao hubaka dada zetu wanapovamia nyumba za watu , wengine huua kabisa na wengine hudhuru kwa namna moja au nyingine? kwako wewe huyo rc angedhuriwa na huyo kibaka ndio ingekuwa furaha?
acha uanaharakati usio na faida ni mbaya kwako, kwa familia yako ,kwa jamii yako na kwa nchi yako kwa ujumla
Jitahidi kuwa na afya njema ya akili.Hata ninyi si mna mawaziri vivuli kule Bungeni? Anzisheni na nyie ununda wenu ninyi si mnajiita nguvu ya umma kuinua chips yai?
Hivi kuna wezi na wakatisha uhai wa wananchi kama wezi awa..1. Katika kichwa cha mada yako umesema CCM inafurahia kifo cha asiye mwanaCCM na kwenye maelezo umemtaja RC aliyeua kibaka aliyevamia. Hapo hujathibitisha kwamba vibaka wote ni wanachama wa vyama vingine isipokuwa ccm?
2. Kama vyama vingine vinafuga vibaka ,je ni halali kiendelea kuendelea kulea vyama hivyo? KWA nini visifutwe?
3. Kwa maslahi ya nani unatetea vibaka ambao wengi wao hubaka dada zetu wanapovamia nyumba za watu , wengine huua kabisa na wengine hudhuru kwa namna moja au nyingine? kwako wewe huyo rc angedhuriwa na huyo kibaka ndio ingekuwa furaha?
acha uanaharakati usio na faida ni mbaya kwako, kwa familia yako ,kwa jamii yako na kwa nchi yako kwa ujumla
Yaani Mpaka Wakt Mwingine Nawashangaa Wasomi! Sio Kwa Mihemko Hii... Lakini Kila Lenye Mwanzo, Lina Mwisho. Na Muumba Akatupiganie Sisi Wanyonge! Maana Yeye Tu, Ndiye Mwenye Mamlaka, Na Waliopew Hapa Chini Ya Ardhi, Kawapa Yeye!Kusoma kwako kote umeona tu hapo kwa kibaka?