Kweli, na kwa sababu watunzi wa hizo story washakufa ndio maana kuna maswali mengi hawa wafia dini hawawezi kujibu.Story za kutunga tu km hadithi za shigongoo
Kama bado watunzi wangekuwa hai kila siku tungeendelea kusikia aya mpya simeshushwa kutoka mbinguni kujibu maswali ya watu.