kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Kweli nimeamini hizi imani zao za Wzungu na Waarabu ndo zinatuletea uvivu na kutoelewana Africa na umaskini. Zamani huku USA kulikuwa na kanisa chache tu, baada ya wakimbizi kufika sana uhku makanisa yameongezeka. Na sasa hivi uadui ndiyo unazidi kuongezeka.
Mtu wa imani hii hataki kusema na huyu, mtu na kanisa hili hataki kabisa kushirikiana na huyu, imekuwa too much sana. Wachungaji wanakufa sana vifo vya ghafla wengine na masumu, yaani ni hatari.
Vijana wakufanya kazi ili kesho wasaidie familia zao ndiyo wana kesha kwenye hayo makanisa yao kuomba mchana na usiku, na ukijaribu kushauria unaitwa wewe ni pepo chafu mara una majini.
Mmmmm macho yetu!