Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 117

Naona hizo mara nyingi hutokea ukitumia mobile phone ku reply quote au ukii edit post.
ila waweza kuzi futa kama hiviNaona hizo mara nyingi hutokea ukitumia mobile phone ku reply quote au ukii edit post.
Salaam JF!

Kila niki Quote thread au niki edit thread kuna herufi kama hizi

Zinatokea

Nimechunguza hata kwa wachangiaji wengine zimekuepo kwenye uzi zao

Ndio virus au nani anazituma huko?
Mbona mimi huwa hazitokei?Sorry! Nilikuwa najaribu kuzifuta.
ila waweza kuzi futa kama hivi

Mbona mimi huwa hazitokei?

Inabıdı tuwe na subıra jamanı,tatızo lınashughulıkıwa
Nafanya hivyo mara nyingi nnapotumia mobile.mia
AshaDii kwa hiyo hizo alama ni ajili ya msaada kwetu tunaotumia Mobile phone?
Hiyo ni web page html code for line break. Inawezekana wakati wa ku-quote unaweka text yako sehemu isiyo sahihi thats why hizo code zinatokea. jaribu kueka text yako after neno"[/QUOTE] "Salaam JF!
Kila niki Quote thread au niki edit thread kuna herufi kama hizi

Zinatokea

Nimechunguza hata kwa wachangiaji wengine zimekuepo kwenye uzi zao
Ndio virus au nani anazituma huko?